mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,054
- 5,432
Una maana Jaakaya Mrisho Kikwete eeh!! ni kweli Nchi yote itajuta!!Watajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni
Una maana Jaakaya Mrisho Kikwete eeh!! ni kweli Nchi yote itajuta!!Watajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni
Shule ni muhimu hata mpaka darasa la saba.Una maana Jaakaya Mrisho Kikwete eeh!! ni kweli Nchi yote itajuta!!
Watajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni
Maisha ni magumu, watu hawana fedha. Ni tatizo la uchumi wa nchi. Nahisi wewe unataka kuunganisha Arusha na siasa za CDM. Mtwara kuna maisha mazuri? Kuna biashara nzuri toka asubuhi hadi usiku?
Mbona juzi juzi tuu jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi imetajwa kama miji misafi hapa nchini? Huwezi kupima uchumi wa Arusha kwa kuangalia uchangamfu wa biashara katika maduka ya stendi ndogo hasa msimu huu ambao siyo wa sikukuu.
Nashukuru na nimeliona limeandikwa pia kwenye blog ya michuzi. Tuacheni utani na masihara mji wa Arusha kwa sasa una hali mbaya sana. Hali ya mji wa Arusha kiuchumi kwa sasa sio maridhawa kabisa. Nilijaribu kutembelea maeneo mengi ya kibiashara km sokoni ambapo kuna maduka mbali mbali . Ikifika saa 10 tu jioni wanaanza kufunga hakuna wateja, hata zile siku za kawaida za kazi. Biashara za taxi , ma-bus ndio usiseme, karibia 90% ni mbovu mbovu sana. Hali ya usafi wa mji ni mbaya sana. Kwa kweli , wana JF tuna haja yakuutizama upya mji huu, GENEVA OF AFRICA INAPOTEA KWENYE RAMANI
basi raisi wako ni mwendawazimu kwa kuwa aliingilia mahakama kutengua ubunge wa kichaa
Mbona juzi juzi tuu jiji la Arusha na Manispaa ya Moshi imetajwa kama miji misafi hapa nchini? Huwezi kupima uchumi wa Arusha kwa kuangalia uchangamfu wa biashara katika maduka ya stendi ndogo hasa msimu huu ambao siyo wa sikukuu.
IGWE,
Uwezi kufananisha Dar na Arusha kwa mzunguko wa kibiashara.
Kwa hiyo mnataka kusema shauri ya CHADEMA ili musikilize watu wanasemaje? Hali ni mbaya kote sababu ya CCM.
Rekebisha kidogo hapo, ni Lema sio mheshimiwa mbunge. Halafu hivi wewe umeenda Mwanza hivi karibuni? Nakushauri uende ukaone biashara inavyo kwenda.
Mkuu hakuna uhusiano wowote kati ya mji kuwa msafi na mzunguko wa pesa.