MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
kaka!!!! you are overworking youself kwa mawazo ya huo ujinga hapo juu!!!!!!!!!!!!!!!! hata kama ni hujuma hii sasa imefikia kubaya. nadhani ile dhana kuwa serikali ni dhaifu watu wanataka kupotoka nayo. liberal goverment is non dictator goverment.
vyombo vya dola vya kukandamiza huu upuuzi wote vipo na vinatosha. ila baba riz1 haoni kama kuna haja ya kukandamiza watu wanaotoa kinyesi chao toka vichwani mwao kama huyo kaka aliepost hiyi thread.
dont worry bro,, nini tanganyika!! HATA tanzania itaendelea kuwepo milele kwani misingi ya uundwaji wake imejengwa juu ya mwamba.
hebu muulize huyo kichaa,,, MANGI MAREALE na yeye aliendaga UNO kumuwakilisha nani???? wakati watanganyika wengine wanaipigania nchi yao kuna makabila yalikuwa begakwabega na wazungu wakoloni na leo hii tunachokiona ni walewale wasaliti wa uhuru kutaka kuchukua nchi kwa gharama yoyote NARUDIA kwa gharama yoyote. mungu inusuru nchi yangu na hawa wakaanga sumu-------amen
Historia imekupiga chenga wewe acha upuuzi. Mzee Mbowe alimpa support kubwa sana ya kifedha Nyerere wakati wa kusaka uhuru nashangaa unakurupuka kuhusu watu wa Kaskazini. Nchi itachukuliwa mbele ya macho yako na kama unataka hamia ulaya au jimalize kama Isike