Wewe nadhani upo Ushagoo na Arusha hujawai kutia hata pua, Hapa mjini hakuna mawe yakuziba barabara bwana mdogo, trip ya town to njiro inaishia impala na hapa round about hakuna mawe ya kuwazuia ila wanakatisha safari kwa kuheshimu mgomo uliopo ila jioni lazima wapeleke kitoweo nyumbani.
Tarehe 14 takuepo Arusha tafikia Palace Kibo hotel karibia na mahakama, nikifika takuambia tukutane pale mnara wa saa..
Arusha unaona CHICAGO?
Kamwe siwezi kukutana na kapurwa kama wewe, ni mahakama ipi ipo karibu na Kibo Palace?????Tarehe 14 takuepo Arusha tafikia Palace Kibo hotel karibia na mahakama, nikifika takuambia tukutane pale mnara wa saa..
Arusha unaona CHICAGO?
Hebu angalia iyo Kibo Palace alivyoiandika kwanza!kuna siku rejao almwambia elli hivi''kama kweli wewe umo humu mlimani city niambie umekaa wapi nije nikufate sio unaongea kitu usichokijua'' elli akamwelekeza alipo na alivyovaa .....baada ya kuambiwa aende rejao akabaki anajiuma uma na mwisho wa siku aka log off......sasa na wewe ni aina yake.....kwanza hata kulala kibo hapo huwezi na huna jeuri ...na yawezekana hata arusha hupajui
Tarehe 14 panya watakimbiza paka endelea kuneng'eneka.Wewe mbona unajidanganya sana kila muda ngoja tarehe 14, mtafanya nini unaleta porojo tu..
Siku hiyo ndio mtajua kama serikali ipo mtajuta siku hiyo mitaa yote kitakachokuwa kinaonekana barabarani ni yebo yebo na pakiti za viroba tu, wewe najua utakuwa umejificha nyuma ya Laptop yako ukileta update
kuna siku rejao almwambia elli hivi''kama kweli wewe umo humu mlimani city niambie umekaa wapi nije nikufate sio unaongea kitu usichokijua'' elli akamwelekeza alipo na alivyovaa .....baada ya kuambiwa aende rejao akabaki anajiuma uma na mwisho wa siku aka log off......sasa na wewe ni aina yake.....kwanza hata kulala kibo hapo huwezi na huna jeuri ...na yawezekana hata arusha hupajui
Kamwe siwezi kukutana na kapurwa kama wewe, ni mahakama ipi ipo karibu na Kibo Palace?????
Tarehe 14 panya watakimbiza paka endelea kuneng'eneka.
Huyu RITZ kibaraka mkubwa wa CCM na ukiona kijana yupo CCM kama RITZ ujue alinyonya mbolooooy ya baba yake akiwa mdogo,ndiyo mana akili unatumia makamasi kufikiri badala ya ubongo,akili umefungia kabatini,haya nenda sasa kwa mmeo NAPE ukachukue posho kwa upuuzi uliotumwa uje upambane humu.Siku hiyo ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi..
Nategemea Yebo Yebo zitajaa Fusso nzima
Okey time will tell, ila hakuna kitu inaitwa Palace Kibo Hotel hapa bali kuna Kibo Palace Hotel.Siku hiyo ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi..
Nategemea Yebo Yebo zitajaa Fusso nzima
Huyu RITZ kibaraka mkubwa wa CCM na ukiona kijana yupo CCM kama RITZ ujue alinyonya mbolooooy ya baba yake akiwa mdogo,ndiyo mana akili unatumia makamasi kufikiri badala ya ubongo,akili umefungia kabatini,haya nenda sasa kwa mmeo NAPE ukachukue posho kwa upuuzi uliotumwa uje upambane humu.