Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Masharti ya umiliki wa ardhi unayajua au unabwabwaja tu?Haya ndo mambo tunataka kusikia...sio mtu ananyang'anywa Shamba analomiliki kihalali Kabisa kisa tu kahamia upinzani wakati miccm inamiliki mihekari ya mashamba ambayo yamekuwa pori na wengine wanapora maeneo ya wazi na VIWANJA Vya umma ila hawagushwi.
Masharti ya umiliki wa ardhi unayajua au unabwabwaja tu?
Hongera sana Mkuuu . Tutafurah sana kama Hilo eneo litatengwa kwa ajili ya soko na wafanyabiashara wadogo wadogo , sanasana wakina mama na vijana .KUHUSU ENEO LA WAZI LA KILOMBERO KATA YA LEVOLOSI
Kiwanja namba 67 kilichopo eneo la Kilombero kata ya Levolosi,kiliuzwa kifisadi mwaka 2005 na madiwani wa ccm wakati huo.Mwaka 2007 ccm iliwavua uanachama Madiwani watatu wakiongozwa na aliyekuwa Meya Paul Lota Laizer.kiwanja hiki kilikuwa ajenda ya CHADEMA kuanzia 2010 kwenye kampeni,na tumeendelea kupambana kuhakikisha kuwa kinarudi kwa umma.Katika jitihada zetu hizo Halimashauri ya CHADEMA iliandika barua kwa Mh Rais ikimwomba Mh Rais atumie mamlaka yake ya sheria afute hatimiliki ya kiwanja hicho kwa kuwa kiliuzwa kifisadi.Tunashukuru kuwa jitihada zetu zimezaa matunda na Mh Rais amefuta hatimiliki na kiwanja kimerudi mikononi mwana umma wa Arusha.
Sasa ni mali ya Halimashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA
Asanteni Arusha
Nanyaro Ephata
Diwani-Levolosi
Hongera Diwani Nanyaro. Umeitendea haki kata yako ya Levolosi. Bado tunasubiri Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abedi na uwaja wa Azimio Sakina navyo virudi kwa Halmashauri ya Jiji. Hizi ni mali za serikali za mitaa zilizoporwa na CCM. Pambaneni zirudi kwa Jiji kwani ni miradi muhimu ya kiuchumi.KUHUSU ENEO LA WAZI LA KILOMBERO KATA YA LEVOLOSI