Arusha: Kiwanja Kilichouzwa Kifisadi na Madiwani Wa CCM Charudi Mikononi Mwa Umma Chini ya CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Kiwanja namba 67 kilichopo eneo la Kilombero kata ya Levolosi,kiliuzwa kifisadi mwaka 2005 na madiwani wa ccm wakati huo.Mwaka 2007 ccm iliwavua uanachama Madiwani watatu wakiongozwa na aliyekuwa Meya Paul Lota Laizer.

Kiwanja hiki kilikuwa ajenda ya CHADEMA kuanzia 2010 kwenye kampeni,na tumeendelea kupambana kuhakikisha kuwa kinarudi kwa umma.Katika jitihada zetu hizo Halimashauri ya CHADEMA iliandika barua kwa Mh Rais ikimwomba Mh Rais atumie mamlaka yake ya sheria afute hatimiliki ya kiwanja hicho kwa kuwa kiliuzwa kifisadi.

Tunashukuru kuwa jitihada zetu zimezaa matunda na Mh Rais amefuta hatimiliki na kiwanja kimerudi mikononi mwana umma wa Arusha.
Sasa ni mali ya Halimashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA

EPHATA NANYARO
Diwani-Levolosi
 
Haya ndo mambo tunataka kusikia...sio mtu ananyang'anywa Shamba analomiliki kihalali Kabisa kisa tu kahamia upinzani wakati miccm inamiliki mihekari ya mashamba ambayo yamekuwa pori na wengine wanapora maeneo ya wazi na VIWANJA Vya umma ila hawagushwi.
Masharti ya umiliki wa ardhi unayajua au unabwabwaja tu?
 
Duh! Mbona umeandika vice versa? Hii ni aibu kwa NANYARO maana kipo katika kata yake. Hiki kiwanja kilikuwa na mgogoro, na mgogoro uliisha mwaka 2014 baada ya baraza la madiwani kuridhia kuuzwa na mnunuzi kuanza kujenga ukuta pale. Taja mnunuzi tujue ni nani kama co kamanda wa CHADEMA
 
KUHUSU ENEO LA WAZI LA KILOMBERO KATA YA LEVOLOSI

Kiwanja namba 67 kilichopo eneo la Kilombero kata ya Levolosi,kiliuzwa kifisadi mwaka 2005 na madiwani wa ccm wakati huo.Mwaka 2007 ccm iliwavua uanachama Madiwani watatu wakiongozwa na aliyekuwa Meya Paul Lota Laizer.kiwanja hiki kilikuwa ajenda ya CHADEMA kuanzia 2010 kwenye kampeni,na tumeendelea kupambana kuhakikisha kuwa kinarudi kwa umma.Katika jitihada zetu hizo Halimashauri ya CHADEMA iliandika barua kwa Mh Rais ikimwomba Mh Rais atumie mamlaka yake ya sheria afute hatimiliki ya kiwanja hicho kwa kuwa kiliuzwa kifisadi.Tunashukuru kuwa jitihada zetu zimezaa matunda na Mh Rais amefuta hatimiliki na kiwanja kimerudi mikononi mwana umma wa Arusha.
Sasa ni mali ya Halimashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA
Asanteni Arusha

Nanyaro Ephata

Hongera sana Mkuuu . Tutafurah sana kama Hilo eneo litatengwa kwa ajili ya soko na wafanyabiashara wadogo wadogo , sanasana wakina mama na vijana .
 
KUHUSU ENEO LA WAZI LA KILOMBERO KATA YA LEVOLOSI

Kiwanja namba 67 kilichopo eneo la Kilombero kata ya Levolosi,kiliuzwa kifisadi mwaka 2005 na madiwani wa ccm wakati huo.Mwaka 2007 ccm iliwavua uanachama Madiwani watatu wakiongozwa na aliyekuwa Meya Paul Lota Laizer.kiwanja hiki kilikuwa ajenda ya CHADEMA kuanzia 2010 kwenye kampeni,na tumeendelea kupambana kuhakikisha kuwa kinarudi kwa umma.Katika jitihada zetu hizo Halimashauri ya CHADEMA iliandika barua kwa Mh Rais ikimwomba Mh Rais atumie mamlaka yake ya sheria afute hatimiliki ya kiwanja hicho kwa kuwa kiliuzwa kifisadi.Tunashukuru kuwa jitihada zetu zimezaa matunda na Mh Rais amefuta hatimiliki na kiwanja kimerudi mikononi mwana umma wa Arusha.
Sasa ni mali ya Halimashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA
Asanteni Arusha

Nanyaro Ephata
Diwani-Levolosi
Hongera Diwani Nanyaro. Umeitendea haki kata yako ya Levolosi. Bado tunasubiri Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abedi na uwaja wa Azimio Sakina navyo virudi kwa Halmashauri ya Jiji. Hizi ni mali za serikali za mitaa zilizoporwa na CCM. Pambaneni zirudi kwa Jiji kwani ni miradi muhimu ya kiuchumi.
 
Haya ndio mambo tunataka kusikia, bravo CDM kwa hili. Na Dar wafuate nyayo hizi kwenye inshu ya DART na sio kulia lia kwenye media tu. Tunataka kuona siasa za maendeleo na sio za kushinda mahakamani kutukana viongozi wengine huku ukiwaombea kifo.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom