Kwa mgeni utampa shughuli kuelewa hapo panahitaji mzoefu.Nenda kule kwenye milango ya kutokea utakuta vibao vipo vinavyoonyesha magari yanapokwenda, hapo ulipo simama ni mlango wa kuingilia kwa gari zote zinazotokea moshono, njiro, uswahilini, murieth na ukanda wote wa chini ya jiji.
Stand ya mabasi makubwa ipo pale pale miaka yote hiyo. Hakuna mabadiliko yoyote.Tangu niijue Arusha for the first time mwaka 2010 hiyo stand iko ivoivo.
Hata ile stand ya mabasi ya mikoani ni finyu sana na imekaa pabaya.
Nilisikia wanaihamisha ila sijui kama wameshaihamisha.
Malizia na choo wala sehemu ya kujikinga na mvua au jua hamna,yani utafikiria parking ya malori...sasa mvua inyeshe tope kma lote
Ila kituo kibaya sanaNenda kule kwenye milango ya kutokea utakuta vibao vipo vinavyoonyesha magari yanapokwenda, hapo ulipo simama ni mlango wa kuingilia kwa gari zote zinazotokea moshono, njiro, uswahilini, murieth na ukanda wote wa chini ya jiji.
moshi imeizidi arusha?😄😂😂😂Kingine kinachonishangazaga inakuwaje mpaka leo Moshi sio jiji wakati imeipita mbali Arusha.
mji gani hapa Tanzania unastahili kuwa jiji bila makosa ndugu bavaria 🤣Arusha waliipa hadhi ya jiji kimakosa.
AiseeeStand ya mabasi makubwa ipo pale pale miaka yote hiyo. Hakuna mabadiliko yoyote.
stendi kuwa katikati ndio inayoifanya Arusha iwe imechangamka zaida ya mwanza na iringa ndugu🤣🤣 miji yote mikubwa stendi ipo katikati ya mji mfano nairobi na kampalaAiseee