Hali ya hewa Arusha kuna baridi safiiii..... kwa wageni watokao Mikoa mingine kuja Arusha plz make sure msisahau masweta.
ongea taratibu, unajua joto la -20c, ulishawahi kusikia jua linazama saa 9:30 jioni, embu acha utani arusha na ulaya wapi na wapi?, maji shida, umeme, huduma za afya shida?, ulaya ya wapi?, hata ulaya ya mashariki kama moldova arusha haikuti. embu acha kuidhalilisha arusha, ifananishe na miji mingine ya tanzania lakini si ulaya.
Ulaya kuna vifodi, ulaya watu wanaota moto badala ya heater. Ulaya mkuu wa mkoa anambakiza watu kesi?, ulaya ndege ya mtu inagonga mti, kisa hakuna taa uwanja wa ndege?. Ulaya watu wanafukiwa na vifusi wakichimba moramu.
Utakuwa umedandia treni kwa mbele wewe!
Mimi nilivyomwelewa huyu jamaa ni kuwa Arusha ni kama Ulaya kwa baridi sasa hivi! Lakini wewe umekimbilia vitu. Shame on you guy!!!
Hali ya hewa Arusha kuna baridi safiiii..... kwa wageni watokao Mikoa mingine kuja Arusha plz make sure msisahau masweta.
Hali ya hewa Arusha kuna baridi safiiii..... kwa wageni watokao Mikoa mingine kuja Arusha plz make sure msisahau masweta.
Aisee wewe naona bado hujazunguka hii nchi...
Hakuna sehemu yenye baridi kali hapa Tanzania kama mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Mathalani:
Iringa (Mafinga, Makambako)
Njombe (Makete)
Mbeya (Uporoto, Tukuyu)
Sosi ni mimi mwenyeww kwa kuwa maeneo hayo yote nimeishi including Arusha.
Umeniwahi nilitaka kumuuliza kama keshafika Makambako huyu...
we paka mtakatifu upo???nakuona uchikiuchiku humu ndani
Umri huo unasema mambo ya masweta daah.
Mh we acha tu,ila nipo sana, na ushamba wangu wa kisukuma wacha nikamatwe kisawasawa hata jinsi ya kutoka sijui nitatokaje kwenye hiyo mikono iliyonikamata..
ha ha ha kama nakuona vile na lisauti lako liguuuuuuuuuuuuuuuumu la kukaza