Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
ARUSHA: Wananchi wa Arusha wameendelea kukata maigizo ya Serekali ya Magufuli kwa kusema maigizo na mazengwe ndio inayoendelea kwenye mahojiano na Mwanahabari Huru.
Kwani wamesema tokea Rais aingie madarakani ni maigizo na mizengwe tu kwani ni wandishi wa habari ndio wanaoonekana na hakuna la zaidi ya kujisifu wameapa kuwapa wenyeviti wa chadema kuongoza kwani ndio wanaowatetea bwana Mussa Hassan anasena