Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

 
Wahenga walisema ukitaka kuonja utamu ngoma ingia ucheze, sasa nikuulize wewe kama wewe umewahi kwenda kukopa hizo fedha na ukapewa bila longolongo yoyote? Usiseme nimeona wanapewa nimekuuliza wewe.
Watoto wa wenyeviti wa ccm wanapewa bila shida yoyote,na wao ndiyo wanaopewa mamlaka ya kuchagua nani apewe na nani asipewe,ila kipaumbele cha kwanza ni uwe ndani ya jumuiya mojawapo ya ccm,ama uvccm,au jumuiya ya wanawake wa ccm,na ukiwa green guard unaweza kupewa kwa urahisi kabisa na bila masharti mengi, hio fursa huwa zinatangazwa kwenye vikao vya ndani vya chama,mimi ni mzoefu na nimewahi kupata mkopo huo kwa mgongo wa uvccm/greenguard!! Ila ukijulikana una vinasaba vya upinzani(hasa chadema) hiyo mikopo utaishia kuisoma huku JF
 
VIVA TANZANIA
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Kaziindelee Arusha,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Mnagawana hela za msaada wa covid sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…