Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

Tetesi: Arusha International Iftar kurushwa live CNN, BBC & Al Jazeera

Yaani kuna tukio la kurushwa live CNN, Aljazeera na sisi wabongo wengi hatujui..
 
Watu wanawaza jinsi ya kumwagilia mimea na mashamba kwa kutumia drones,nyie ni kufanya matamasha ya kuvunja historia.Umaskini hauo doki kwa matamasha na sherehe watu watumie akili vizuri.
 
Back
Top Bottom