Arusha imegeuka Goma ya Tanzania.

Arusha imegeuka Goma ya Tanzania.

Wanajeshi wanafanya doria kila mahala

Mserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47

Wanajenshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.

Goma au Kisangani na Bukavu
Wanachoweza ni hiki eti na kulinda mipaka huku ndani wezi, ufisadi, watu kutekwa kumeoza,.mnalinda nini?
Mnatakiwa mlinde kikamilifu
 

Attachments

  • FB_IMG_1763282369940.jpg
    FB_IMG_1763282369940.jpg
    56.6 KB · Views: 12
Wanajeshi wanafanya doria kila mahala

Mserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47

Wanajenshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.

Goma au Kisangani na Bukavu
Waendelee kukagua wakati GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Huyu mama mbona anapambana sana kubakia madarakani wakati hatakiwi?

D9 kitaeleweka tu.
waarabu nduguze wameshampa ma range rover na pengne ndo waliotoa mpunga wa uchaguzi wote na ukumbuke bandari wanayo wao sa mama anarudshaje fadhira na hzo pesa bdo vitega uchumi vya mafisadi na mikataba fake kwny rasilimali na mashrika ya nchi hii kuondoka kwake maana yake ni kuondoka kwa ccm ndo mwsho wake ccm ndiye adui namba 1 wa taifa hli ccm imetuharibia ma dr, prof wa maana kbs imetuharibia wabunge wazuri sn waliowaungsha juhudi walisaidia mambo meng sn yny maslahi kwa nchi na watz leo hawana meno ksa wako ccm, ukute ndege alizonunua jpm watu walishazgawana ktambo sn maana nlishangaa timu ya kmc pamoja na uwanja wake eti n mali ya ccm wkt inatumia pesa za manispaa khaaa jaman tanganyika yangu.
 
Wanajeshi wanafanya doria kila mahala

Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47

Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.

Goma au Kisangani na Bukavu
Si mlitaka nchi ichukuliwe na jeshi lakini? CC Kiranga
 
Wanajeshi wanafanya doria kila mahala

Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47

Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.

Goma au Kisangani na Bukavu
Matumizi mabaya ya jeshi letu
 
Back
Top Bottom