Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Huu mji utashuka mapato saana...miji inayotegemea utalii duniani kote inaisoma namba... Poleni aisee.
sasa kama watalii hamna na COVID -19 ndio haijulikani inaisha lini si wanyoe hiyo mizigo kichwani waanze kufuga upya msimu wa utalii ukianza. Rasta zinakondesha sana haswa ukiwa huna helaNi ngumu kunyoa mkuu
Watu tunaisoma namba haswa hapa, hoteli zote kubwa zimefungwa biashara hamna, migahawa ya kizungu yote nayo imefungwa,Huu mji utashuka mapato saana...miji inayotegemea utalii duniani kote inaisoma namba... Poleni aisee.
😢😢😢inasikitisha boss!!Watu tunaisoma namba haswa hapa, hoteli zote kubwa zimefungwa biashara hamna, migahawa ya kizungu yote nayo imefungwa,
Magari ya kitalii nayo yamepaki hayana PA kwenda, makampuni mengi hapa yamekufa.
Watalii watakuja tu kijana. Wengi wameshachoka kukaa ndani huko nchi za watuMtakufa njaaa Arusha. Taften alternative kwa miaka miwili ijayo. Corona inaimpact kubwa sana kiuchumi. Watu hawawezi toka lockdown waje kutalii. Wanaenda kutafta pesa kwanza. Hata wenye pesa wanapenda maisha yao. Kutalii ni kama sucide mission.
Unawacheka sioHahahaha
Marasta kwisha habari yaoMarasta hoi wamekosa vibibi vya kizungu. Nakumbuka vijana walikuwa wanabebeshwa ndizi kutwa nzima.
Asilimia kubwa sana ya wana Arusha pato Lao kubwa achia mbali madini la pili ni utalii.
Labda soko..au na lenyewe hawana?Pato la madini Arusha wanapatia sehemu gani?
Mimi sijui wapi Arusha kuna madini.Labda soko..au na lenyewe hawana?
Nadhani hayapo...Manyara labda.Mimi sijui wapi Arusha kuna madini.
Embu nisaidie
Rekebisha lughaMarasta hoi wamekosa vibibi vya kizungu. Nakumbuka vijana walikuwa wanabebeshwa ndizi kutwa nzima.
Huwa nacheka sana, unakutana na mtu na manyonyo yake yameshalalaga au mtu na madevu yake kidevu kimeshakomaaga anasema anaenda zake Arusha mererani au Arusha ina Tanzanite.😝Nadhani hayapo...Manyara labda.
Watu huwa wanachanganya wanadhani madini hasa Tanzanite ipo Arusha....Na vijana wa Arusha wanawa-indoctrinate hivyo.
Wakuu Amani iwe nanyi., Peace and lovewana jf.
Jambo ambalo nataka kusema ni kuwa Arusha imebadilika kwa kiasi kikubwa sana tangu hili gonjwa liingie yaani ni balaa.
Arusha ni mji uliojaa wazungu kila Kona utafikiri tupo South Africana tushazoea kufanya biashara au mazungumzo ya hapa na pale na hawa wadoshi wakiwa hapa jijini.
Na wazungu wengi wao wamewekeza sana hapa. Asilimia kubwa sana ya wana Arusha pato Lao kubwa achia mbali madini la pili ni utalii.
Lakini kwa sasa hali ni tofauti kabisa urafikiri tupo singida au wap sijui hatuoni wazungu kabisa kabisa hata Ile migahawa wazungu hukaa hamna mtu mweupe hata kidogo.
Hotel, migahawa, na kule vinyagago na sehemu zote wazungu wanapopendelea kutembea au kukaa hamna kabisa watu weupe.
Makampuni mengi, migahawa, maduka na hata masoko wengi tunategemea utalii, sahiv kila mtu analia.
Watu weusi tunalia Arusha kwa kweli sijui kwa mikoa mingine mimi ila hapa chuga tunalia![]()