Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

... I hope the minimum sentence will be 30 yrs in prison without any possibility of parole! Kama alizoea kula mezani pa mfalme; mfalme leo hayupo! Tunamtakia maisha mema anayoenda kuyaanza leo.
 
Anastahili hukumu kali iwe fundisho kwa Viongozi wengine wa Serikali na Chama.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Wkt akihojiwa na Salim kikele Mama alisema watuhumiwa wenzake na Mbowe wako gerezani wakitumikia adhabu zao? Alimaanisha Nini hapo?😁😁😁
 
Hakuna kazi ngumu Mahakamani kama kumtia hatiani mtuhumiwa.

Bado ninaona giza nene kwa Sabaya na Mbowe kukutwa na hatia.

Sabaya atakuwa huru na hapo ndipo mtajua uzito wa kuthibitisha jinai, na siasa na Sheria ni kama mafuta na maji taka
 
Hili ni igizo mapeemaa yuko huru, anabakisha kukamilisha utaratibu wa kesi nyingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…