Arusha halisi ilivyo na watu wake

Mkuu humu ndani kuna thread nyingi sana zinazoipondea arusha...huwa simuoni huyu jamaa akienda kuwapinga sababu huo ndio ubaguzi...thread za watu kusifia mikoa yao zipo tele...zipo za mwanza...kuna thread ya tanga inayosema tanga ndio mkoa uliokamilika...jamaa sikumuona ila ikianzishwa thread yyte ya arusha lazima atasema ni ubaguzi hoja za msingi hana zaidi ya kutumia lugha chafu.
 
Onsea House... Kama una party ya watu chini ya kumi, this is the place to be.. Hawaamini kwenye uwingi, wanaamini kwenye quality... Wanasiasa wenu wengi tu wanatoka huko Dar wakishawaibia kuja hapa kupumzika na familia au vimada vyao..

 

Arusha ni mkoani na ni kijijini kama vijiji vingine tanzania na ndio mana mnakusanya maparachichi, ndizi, vitunguu n. k kuja mjini Jijini Dar.
Wakenya wanachukua fursa hapo arusha badala ya kufikiria namna ya kuikomboa jamii yenu huko vijijini arusha mnaanza kuleta uozo kama meno yenu yalivyo huko arusha.
Masai wanaangaika hawana mtetezi wamebaki njia panda wanaanza kuangaika mijini na kazi za ulinzi mara ususi mara dawa za kienyeji mchana kwenye jua kali kama wakimbizi watumwa nchini mwao na mnawaacha wakenya wakishikiria fursa muhim hapo arusha.
Elimisheni kwanza jamii zenu huko arusha sio mnakuja kutuletea uozo hapa JF kwa maneno na mapambo na vipicha vya hotel msizojua hata gharama za ujenzi wake au kulala angalau maramoja.
 
Arusha Park... The beauty of Arusha..

Hizo hotel na campsite hamjui hata gharama za kujenga au angalau kwenda kutembelea mnaziona kwenye picha tu huko arusha mnaanza kuleta ushabiki wa kitoto kama manyumbu kule mbugani arusha.
Badilikeni ninyi vijana wa arusha jamii yenu huko arusha maporini na vijijini ina matatizo lukuki halafu mnakuja hapa JF kuleta uozo wenu
 
Ukweli ni kwamba Arusha ikoo juu sana hata dunia inajua hilo
 
Wewe unatumia data zipi?Wakati juzi bungeni walitaja mikoa mitano yenye kipato cha juu ni Dar,Arusha,Kilimanjaro, Manyara na Pwani.Mind you mikoa mitatu hapo imetoka kaskazini...
 
Huo ndio ukweli, vijana wa arusha kama mashoga hamjiamini kabisa.
Kila siku mnaupamba huo mji kama mnataka uchumbiwe.
Watakuja wadau kutoa mali kwa binti zenu nafikiri ndio mnachotaka
Ungekuwa ni miji ya washamba mngeipigia Kura kwenye maajabu ya dunia?[emoji13] [emoji13] at the end you will kneel down there mkuu. HUKUNA NAMNA A town baby[emoji39]
 
Na wewe ni kishoia tuu unaacha kufundisha hao watoto madrasa unajibizana usichojibizana kikaeleweka

Arusha at It's best.. Kama una chuki katafute dawa..


Arushaaaaa.... Tunapenda Jiji letu, wakora mlie tu hahahaha



Onsea House... Kama una party ya watu chini ya kumi, this is the place to be.. Hawaamini kwenye uwingi, wanaamini kwenye quality... Wanasiasa wenu wengi tu wanatoka huko Dar wakishawaibia kuja hapa kupumzika na familia au vimada vyao..


Arusha ndio ulaya ya Tanzania...#Geneva of Africa#Half London#Centre ya Africa nzima(Johberg to Cairo)...I love u Arusha my home town.Mji wa watu wagumu...watu real...hakuna wanafiki wala waoga!

Umeishia kutukana tu na kutoa kashfa lakini hakuna fact hata moja umetoa...hii inaonyesha chuki ya wazi isiyo na sababu za msingi.Pole

hongera Aruchaga, you deserve it. arusha hakuna uyaniyani kama kwetu chalinze, moro,tanga etc. mambo yote arusha. wanajua kujibidisha ktk kazi na kutafuta maisha
Hamjitambui ninyi, nendeni mkaelimishe jamii zenu huko maporini arusha.
Au mnafikiri arusha ni hapo mjini pekeyake ambapo ni 5 km, na kwa miguu tu umepamaliza
 

dah mkuu umetisha, umekaba thread nzima....machalii wa arusha wanajifaragua unao tuu, umewaweka kwapani, ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa wakikuzingua sana warushie colgate, sie ngoja tulale mana game ushamaliza hapa
 
Hamna lolote ninyi, mda mwingine watu wanaogopa hadi kuja arusha wanafikiri ni misukule inatembea mjini kwa jinsi mlivyooza meno.
Badilikeni ninyi washamba huo ukanda na ukabila utakuja kuwamaliza na ndio mana hamuachi tembea na masime viunoni
Huwezi kuja Arusha ukiwa mlaini mzee kama wewe ni mikono soft usijichanganye kule. Kwanza kupanga geto likamilike kidogo yaani kiaina ama kama linataka kutokelezea kukamilika kuitwa geto/rough la msela pale andaa 2ml. Vinginevyo chugga kusikie ile ndo Luanda ya Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…