kamanda wa makamanda
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 633
- 498
tulia basi...we unataka usifiwe tu? acha tuelezee na madhaifu yenu....kingine wanawake wa arusha wanapambana na maisha kuliko wanaume waoWe umefuata nini kwenye huu uzi km haukuhusu huo ndio umbea na unafki..!
Mmmh Mbona Kama umekwazwa Mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna lolote ninyi, mda mwingine watu wanaogopa hadi kuja arusha wanafikiri ni misukule inatembea mjini kwa jinsi mlivyooza meno.Niaje jombaaa kama VIP na wewe anzisha Uzi wa mkoa wako tuachie arusha yetu.
Anadhani wote tinaishi kama yeye...Jenga hoja km mtu mzima naona unaongea kwa chuki tu...!
tunatembea na sime lakini ulishawahi kusikia watu wamechinja au tunabeba kwenda nayo Mwanza maana kule watu ndo wanachinjwanga arif kama Arusha inakuumiza sana kakumbatie transfoma masta!Hamna lolote ninyi, mda mwingine watu wanaogopa hadi kuja arusha wanafikiri ni misukule inatembea mjini kwa jinsi mlivyooza meno.
Badilikeni ninyi washamba huo ukanda na ukabila utakuja kuwamaliza na ndio mana hamuachi tembea na masime viunoni
Huo ndio ukweli, vijana wa arusha kama mashoga hamjiamini kabisa.
Kila siku mnaupamba huo mji kama mnataka uchumbiwe.
Watakuja wadau kutoa mali kwa binti zenu nafikiri ndio mnachotaka
Hoja nilishajenga, ila sasa ni mda wa kuwachapa na makavu tu.Jenga hoja km mtu mzima naona unaongea kwa chuki tu...!
Hamna lolote ninyi, mda mwingine watu wanaogopa hadi kuja arusha wanafikiri ni misukule inatembea mjini kwa jinsi mlivyooza meno.
Badilikeni ninyi washamba huo ukanda na ukabila utakuja kuwamaliza na ndio mana hamuachi tembea na masime viunoni
Anadhani wote tinaishi kama yeye...
endelea kubonga saana alafu nashangaa unaitaja Arusha maranyingi kinyama itakua umeikubali R.chuga kiaina sema unan'gan'gana tu kimazabemazabe
Hahahahaa maumivu yakizidi muone daktari
Mtaimba sana mipasho, ila lazima muelewe kwamba hizo ajenda zenu zinachembe ya ukanda, ukabila, na ubaguzi.tunatembea na sime lakini ulishawahi kusikia watu wamechinja au tunabeba kwenda nayo Mwanza maana kule watu ndo wanachinjwanga arif kama Arusha inakuumiza sana kakumbatie transfoma masta!
Umetisha chale anguuuHabari zenu wadau.
Kwanza naomba niseme huu uzi hauna lengo la kuilinganisha Arusha na mkoa wowote Tanzania pia nataka huu uzi utumike kama reference kwa threads zote zitakazouongelea mji wa Arusha.
Dhumuni la kuuanzisha uzi huu ni kutokana na wimbi kubwa la members huku kuusema mji wa Arusha kwa namana tofauti ambazo pengine kutokana na kuwa sio wakazi wa Arusha wanaweza wasiwe sahihi sana.
MAMBO YA KIPEKEE KUHUSU MKOA WA ARUSHA.
1. Hati rasmi za uhuru wa Tanzania zilitiwa sahihi hapa na Uingereza mwaka 1961.
2. Azimio la Arusha la kujitegemea lilipitshwa mjini hapa karibu na maeneo ya mnara wa saa.
3. Makubaliano ya Arusha accords ya kusitisha vita nchini Rwanda yalipitishwa mjini Arusha mwaka 1993.
4. Una mbuga nyingi barani Africa, Hali ya hewa ni nzuri sana. Mbuga ya wanyama ya Serengeti na Ngorongoro, Ziwa Manyara, Olduvai Gorge, Arusha National Park,Tarangire na mlima Kilimanjaro zipo ndani\karibu na mji huu.
5. Arusha imechezwa movie ya Hollywood maarufu kama HATARI mwaka 1962.....Hatari! (pronounced [hɑtɑri], Swahili for "Danger!") is a 1962 Americanaction/adventure romantic drama film directed by Howard Hawks and starringJohn Wayne. It portrays a group of professional wildlife catchers in Africa.[2]The film includes dramatic wildlife chases and the scenic backdrop of Mount Meru, Arusha a dormant volcano.
6. Wakati mikoa yote inahangaika na madawati likiwemo jiji kuu la Dar, Arusha haikuwahi kuwa na upungufu wa dawati hata moja na kila secondary school inayo maabara hata kabla ya agizo la Rais. (shule nyingi za serikali za Arusha zina computer labs)
7. Arusha ndio mkoa wenye matumizi makubwa ya Internet kuliko Mkoa wowote Tanzania and East Africa.
8. Arusha ni mkoa wa kwanza kwa Social Development Index (Huduma Bora za Kijamii kama maji, life expetancy, Health services, Education) By UNDP
9. Arusha ndio mkoa unaofatia ukitoka Dar kwa wingi wa viwanda na kuchangia katika pato la Taifa.
10. Arusha ndio mkoa wenye gharama za juu za maisha kuliko mkoa wowote Tanzania, kama unataka kuanzia maisha Arusha na una uhakika hauna kipato cha kujitosheleza nakushauri ujaribu Mwanza.
CHANGAMOTO ZA JIJI LA ARUSHA
1. Roads Roads Roads, Barabara Arusha zipo nyingi ila ni nyembamba kutokana na mji huu kuwa na masterplan ambayo ni ya muda mrefu, Maeneo ambayo yanatakiwa kuwekewa mkazo ni pamoja na Olasiti, Olasiver, Englesheraton, USARiver, Moshono, Kisongo, Ngaramtoni ambapo ndipo mji unaelekea.
Mimi kama kama mzaliwa Arusha na nimetembea mikoa yote sio kupita kwa bus wala kukaa siku 2 bali nimeishi mikoa mingi kwa kweli, nimekuja koconclude Arusha ni ya kipekee sana kuanzia tabia za watu wa Arusha ni tofauti 100% na watanzania wote, Maisha ya watu wa Arusha ni tofauti na mikoa mingine na hata wa mikoani wakija Arusha wanakiri maisha ya Arusha na watu wake ni wa tofauti.
#Arusha #GenevaOfAfrica #SafariCity #UN #A-Town #Machalii #Mamong'oo #Arachugga #Mabillionare #Meli #Mafogo #MjiWaMabilionea #HalfLondon #TheOnly #MjiWaWajanja #Tanzanite #HeadQuaters #EastAfricaCommunity #Zurich #TanzaniteInTheSky #Wakakamavu #ChaliAraa #Jombii #Ungalelo #Matejoo #Ungalimii #Arifu #Makamanda #USARiver #Watengwa #Weusi #Nako2Nako
Kwahiyo kijana wa 30yrs kutembelea range Arusha unatafsiri ni nini hasaNitajie
mara ya mwisho kutokea uhalifu wa ujambazi Arusha ni lini?
-Mara ya mwisho kutokea kwa uhalifu wa ujambazi Dar ni lini?
-Halafu nitajie mara ya mwisho kutokea kwa uhalifu wa ujambazi Mwanza
Arusha watu tunaishi kwa amani sijui huo ujambaz unaosema wew upo huku Arusha ni upi, na dar juzi waliuwa majambazi ukienda mwanza juzi majambazi wameuwawa au huko ni ARUSHA? Jiongeze bro!
Wasioitakia meme ARUSHA na waeneza propaganda walisha ku brain wash kuhusu ARUSHA!! Arusha karibia kila kijana mwenye umri wa miaka 30 anatembelea Range tofauti na DAR na MWANZA ambao ni wezi wa mali za UMMA!
Nafikiri wewe ni mgeni hapa JF, mana kuna uzi nyingi kama hizi zilizoanzishwa na watu wa arusha wakijiona wao ndio bora kuliko mikoa yote tanzania na hizo nyuzi zinachembe ya ukanda, ukabila, n. khapana kijana we leta tu ushahidi wa tuhuma zako kwani tangu mwanzo nimekuwa nikisoma michango yako umekuwa ukiponda arusha ukaenda mbali zaidi ukawasema wamasai nk sasa leta ushaidi kwamba thread hii inaubaguzi wa aina yoyote!
Kitu cha kweli nachojua mimi swala la kipato kingi taifa linavuna ni Dar na Mwanza ikifuatiwa na Mbeya,hiyo ni tosha kuonyesha Arusha imekalia wapi na siyo misifa tu bila la maana,all in all hii ni Tanzania yetu sote,ila mkileta ubaguzi nakuapieni Arusha hamuifati Mwanza,maana hilo ndo hua linawaumiza,sema hamuwezi kuamini kwa sababu jamii ya Mwanza ni ya kistaarabu haina majivuno,kuleta maneno ya kusifia majengo,mala keepleft ndani ya mji kama napoona hapo juu ndugu mmoja kapiga picha na kupost hapa ni utoto tu au kutokuelewa maana maeneo yenu hayo tunayajua na muonekano wa picha siku zote utaona kama kitu kinatisha kumbe ni bla bla.fanyeni mkoa uwe na kipato kizuri kitaifa ndo mjisifie