OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Ko mkuu una maanisha izo picha ci dodoma ni za ulaya [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngja wenyeji waje wakunyooshe.Mchome bana...!! Sisi tunataka picha za Arusha..acha kuchukua picha za Ulaya huko google na kutuletea hapa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchome bana...!! Sisi tunataka picha za Arusha..acha kuchukua picha za Ulaya huko google na kutuletea hapa...
Mods wamelala kipindi hiki sana...haiwezekani kwa makusudi mazima Mchome atuletee picha za ulaya na kusema ni za Arusha..[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mchome hii sio Arusha unatupakazia bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Arif nimeona tunajipendelea sana [emoji15] [emoji23]Ko mkuu una maanisha izo picha ci dodoma ni za ulaya [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngja wenyeji waje wakunyooshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bana hizo manzari ni za majuu..huwa nazionaga kwenye movie..Ko mkuu una maanisha izo picha ci dodoma ni za ulaya [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngja wenyeji waje wakunyooshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mods wamelala kipindi hiki sana...haiwezekani kwa makusudi mazima Mchome atuletee picha za ulaya na kusema ni za Arusha..
Apigwe ban
hahah,,,,,half London ya tz hyo ariff....!Mods wamelala kipindi hiki sana...haiwezekani kwa makusudi mazima Mchome atuletee picha za ulaya na kusema ni za Arusha..
Apigwe ban
Na Matejoo hawapaongeleiii[emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji28]Serengeti haipo Arusha,na mleta mada hoja yake kuu anauzungumzia mkoa wa Arusha,sasa suala la kuzungumzia vitu vilivyo karibu mkoa wako na kuvifanya ndio advantage ya mkoa wako hiyo ni irrelevant na hoja yenyewe na yeye mwenyewe mwanzo kabisa amesema hana lengo la kuulinganisha mkoa wa Arusha na mkoa mwingine,so alichopaswa kuzungumzia yeye ni mkoa wa Arusha tu,kama kuwa karibu na Serengeti basi mwanza wako karibu zaidi kuliko Arusha,yeye alipaswa kuzungumzia ni vile vilivyomo Arusha na uzuri wa Arusha tu na maeneo yake kama vile karatu,kwa mrombo,oljoro ,ikidinga, maji ya chai,usa river,ngulelo,ngaramtoni.kisongo,monduli,muriet,majengo,mbauda ,njiro,moshono,kijenge,tengeru,na kwingineko
Hata Matejoo hatukatai ipo ArushaNa Matejoo hawapaongeleiii[emoji12] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Punga sana wewe bado upo na uccm wako wa ubaguzi na udikteta wa kishamba.Huo ni ushamba tu, hamna lolote ninyi vijana wa arusha zaidi ya ushamba, ubaguzi na kujiona ninyi ni bora kuliko wengine.
Hivi kila mkoa ukianza huo upumbavu wenu itakuaje hapa TZ.
Mkoa wenyewe wa kawaida halafu mnajipamba kama mnautafutia mume mkoa wa arusha.
Tunachopinga hapo kwenye hizi mada kuna chembe za ubaguzi, ukanda na ukabila.
Badilikeni ninyi msiwe kama mmedumaa akili huko arusha.
Ni jambo zuri kuzungumzia Tanzania kama nchi ila sio kama huo ushamba wa kuzungumzia mkoa mmoja kwa hoja zisizo na maana yeyote kwa watanzania.
Mmeshamaliza kutengana wenyewe kwa wenyewe huko arusha kati ya watu wa karatu, monduli, loliondo, longido n. k mnataka kuleta huo ubaguzi nchi nzima, hatuwezi kuwavumilia.
Tutaendelea kuzivuruga hizi mada zisilete maana yeyote.
Badilikeni ninyi vijana wa arusha.
Tanzania kwanza.