Arusha halisi ilivyo na watu wake

kama kila mtanzania angejivunia tanzania yetu kama huyu jamaa, kama kila mTanzania angejivunia bidhaa za Tanzania kama huyu jamaa leo tungekuwa mbali sana. TUONDOKANE na ULIMBUKEN wa kudhani vya wengine ndio Vizuri
Kwa uzi huu Mazee umenibamba aisee.
 
Wengi wanajua hivyo kwakuwa hata mtalii wa ndani akitaka kwenda huko lazima facilities zote za kutalii kule azilipie na aanzie safari yake Arusha.. Ila Serengeti iko Mara lakini gateway ya kufika huko ni Arusha..
Naam,Safari nyingi sana za utalii kanda ya kaskazini na maeneo mengine zinaanzia Arusha,hata kwenda kupanda mlima kilimanjaro safari nyingi zinaanzia Arusha ilihali mlima uko kilimanjaro,kama ulivyosema Arusha ni lango kuu la mambo ya utalii.
 
Si kweli kuhusu Mt. Kilimanjaro.. Mtalii anayepitia Arusha labda ni yule tu ambaye anaenda pia Mbugani... Ila anayekuja direct kupanda mlima anafikia KIA na kwenda Moshi direct.. Tours company ambazo zinapandisha sana watu mlimani ziko Moshi Mjini
 
Naona umefuta post yako uliyosema wapanda mlima wote lazima wapite Arusha... Si kweli, kampuni zinazoongoza kupandisha watalii Mlima ni Akhaste Tours na Keys Safaris ambazo makao makuu yake ni Moshi.. Mtalii anashuka KIA anaenda Moshi moja kwa moja

Inategemea. Hayo makampuni sio makubwa, kuna Wanaume wa Mlima Kama Zara...
 
We baki huko huko wala usirudi..

Arusha baby...
 
Arusha na yenyewe imeshakuwa ya wakuja maana wenyeji wa asili ni Wamasai na wameru,lakini leo hii warangi,wanyaturu,wachaga, wapare na wasambaa ni wa kumwaga, mimi naipendea hali ya hewa tu.
 
Sio wote wanaoenda kupanda mlima wanafikia KIA na kupada mlima, wapo wengi wanaofikia na na kuanzia safari za Arusha na
Si kweli kuhusu Mt. Kilimanjaro.. Mtalii anayepitia Arusha labda ni yule tu ambaye anaenda pia Mbugani... Ila anayekuja direct kupanda mlima anafikia KIA na kwenda Moshi direct.. Tours company ambazo zinapandisha sana watu mlimani ziko Moshi Mjini
wapo wengi tu, wanaanzia safari za mlimani wakitokea Arusha na sio watalii tu hata maporter na ma guide wanaoenda nao wapo machalii kibao wanatoka Arusha na kwenda kupandisha watalii mlimani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…