Kweli vitu vinashushwa ila nemc bado wamewang'ang'ania zile hotel mbili pembezoni mwa mto maeneo ya sakinaNi hatari tupu..
Ule Ukanda wa Kuanzia Sakina mpaka Ngara vitu hatari vinaporomoshwa
Tatizo sio uwanja kuna je kuna facilities za kutosha? Kuna mahoteli? Kuna kampuni za utalii? Arusha kuna hotel nyingi, farm rest houses zakutosha kiasi kwamba itachukua almost 5 years Mwanza kuwa na facilities hizo.Subirini INTERNATIONAL AIRPORT ikamilike MWANZA kama ARUSHA mtaona mtalii hata mmoja
Dude kama EMARATES AIRLINE au BRITISH AIRWAYS ije direct MWANZA!!!
Hapo maumivu mtayaona kwasabb frm mwanza to serengeti ni Km 105
Frm ARUSHA to Serengeti Km zaidi ya mia3[emoji3]
Tatizo sio uwanja kuna je kuna facilities za kutosha? Kuna mahoteli? Kuna kampuni za utalii? Arusha kuna hotel nyingi, farm rest houses zakutosha kiasi kwamba itachukua almost 5 years Mwanza kuwa na facilities hizo.
Pia usfkiri watalii wanakuja Tanzania kwenda Serengeti tu, kwa taarifa yako Ngorongoro Crater ndo inapata wageni wengi na ni karibu na Arusha. Mgeni akianzia Arusha atapata nafasi ya kutembelea Ngorongoro, Tarangire, Manyara Arusha National Park, Mt Meru, Kilinanjaro, na Oldonyo Lengai na vivutio vingi njiani hadi kufika Serengeti kwa hiyo kufkiria uwanja wa ndege Mwanza utapunguza wageni Arusha ni ndoto. Hapo sijaongelea sababu za kijamii mfano pia kuna wazungu wengi ambao ni wakazi wa Arusha ambao pia huvuta wageni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafkiria hotel nazongumzia ni hizo za mjini au unazozijua? ? Nmefanya kazi kama dereva guide kwa zaidi ya miaka kumi na tano najua nnachosema. ... na package nyingi zinauzwa ni Serengeti via Tarangire, Ngorongoro, Manyara, Serengeti then Zanzibar na nyingine znaanzia Kilinanjaro by any means huwez kuavoid kuanzia Arusha.Mkuu punguza Povu[emoji3]
Hoteli zilizopo mwanza!!!anyway sikulaumu kwasbb ww ukisafiri saaana unaishia Makuyuni[emoji3]
Pato kubwa la mahoteli unayosifia ww inatokana na hao hao wataliii
Cha kushangaza unajijibu ati arusha haitegemei watalii izo hoteli na rest houses mtalala nyie au[emoji3]
THE BIGGEST NATIONAL PARK IN THE WORLD ni SERENGETI zama Google utaona hio creater manyara ni chachu na changamoto kuipa SERENGETI
Nakukumbusha kua MWANZA IS DA SECOND CITY IN TANZANIA
Tatizo la kuzoea kunya ziwani linaathiri ubongo sanaMkuu punguza Povu[emoji3]
Hoteli zilizopo mwanza!!!anyway sikulaumu kwasbb ww ukisafiri saaana unaishia Makuyuni[emoji3]
Pato kubwa la mahoteli unayosifia ww inatokana na hao hao wataliii
Cha kushangaza unajijibu ati arusha haitegemei watalii izo hoteli na rest houses mtalala nyie au[emoji3]
THE BIGGEST NATIONAL PARK IN THE WORLD ni SERENGETI zama Google utaona hio creater manyara ni chachu na changamoto kuipa SERENGETI
Nakukumbusha kua MWANZA IS DA SECOND CITY IN TANZANIA
Unafkiria hotel nazongumzia ni hizo za mjini au unazozijua? ? Nmefanya kazi kama dereva guide kwa zaidi ya miaka kumi na tano najua nnachosema. ... na package nyingi zinauzwa ni Serengeti via Tarangire, Ngorongoro, Manyara, Serengeti then Zanzibar na nyingine znaanzia Kilinanjaro by any means huwez kuavoid kuanzia Arusha.
Kwa taarifa yako sijaongelea ukubwa naongela "most visited park" dereva guide zaidi ya miaka 15 niwe nmeishia Makuyuni kweli? ? Sijui ni tourist attraction gani Tanzania sijafika siko locally kama wewe..... stop imaginations and hallucinations
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani sijaona watu wajinga kama vijana bavicha kasikazini hasa arusha namshukuru Mungu nchi hii haikuchukuliwa na chama cha machame mnapenda sifa za kijinga watoto wana afadhari , hivi Arusha ipo wapi kama si Tanzania? Yaani wewe una mdharau mtu anayekula ugali wa dona na samaki au maziwa mgando una mdharau mtu aliye na mkokoteni wa punda unajiona wa maana kuendesha BMW unajiona wa maana kuwa na pitch ya long tennis badala ya shamba la pamba hakika ninyi ni majuha Mungu aendelee kupishia mbali nchi hii isije chukuliwa na wauza unga kalaga bahoWee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Tatizo la kuzoea kunya ziwani linaathiri ubongo sana
Kwa sie tulioziwa katikati ya nchi na maisha yetu tukafanyia Dar, kiukweli Mara ya kwanza kwenda A town nilijihisi kama sipo Tanzania , maana si tu misemo na matamshi yao yalikuwa yananitatanisha pia hali ya hewa kwa majira hayo niliokuwepo vilikuwa ni vitu vipya kidogo kwangu
Kiukweli kwa Arusha inatakiwa iwekewe mkazo sana hasa ikiwa ni mji unaopokea wageni wengi na hasa miundombinu ya barabara na huu mji hautakiwi kuendeshwa kwa hisia za siasa, unatakiwa kupata watu ambao wana 'vision'katika masuala ya uchumi na 'customers care'
Povuu....eti Bavicha, sifia hizo pamba na mbuzi zenu hujanyimwa, labda italeta furaha kidogo kwenye hayo maishaYaani sijaona watu wajinga kama vijana bavicha kasikazini hasa arusha namshukuru Mungu nchi hii haikuchukuliwa na chama cha machame mnapenda sifa za kijinga watoto wana afadhari , hivi Arusha ipo wapi kama si Tanzania? Yaani wewe una mdharau mtu anayekula ugali wa dona na samaki au maziwa mgando una mdharau mtu aliye na mkokoteni wa punda unajiona wa maana kuendesha BMW unajiona wa maana kuwa na pitch ya long tennis badala ya shamba la pamba hakika ninyi ni majuha Mungu aendelee kupishia mbali nchi hii isije chukuliwa na wauza unga kalaga baho
Sent using Jamii Forums mobile app