Arusha halisi ilivyo na watu wake

😀😀😀 na kweli huyu ni wakupuuzwa sababu ukimsoma anachokiongea haswa hamna mantiki anapinga picture kuwekwa huku utafikiri yeye ndio anazishikilia zisidondoke hoja za kipumbavu kichupi.
Tulieni dawa iwaingie,
Huko arusha ni kijijini tu.
Kungekuwa kuna maisha mazuri masai wasingekuwa wanatoka huko nakuja dar kuwa walinzi, wasusi na kuuza madawa,.
Na hata hao madada wenu wasingekuwa wanakimbia arusha nakuja jijini Dar kujiuza.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tulieni dawa iwaingie.
Mtanyooka tu.
Huko kijijini arusha ni shambani tu.
Watu hapo arusha mnapaita mjini halafu unakuta kuna migomba imepandwa katikati ya mji hadi inaangukia nyumba.
 
Ukiishi arusha hasa maeneo ya pembezoni.. kama vile moshono.. wakikugundua kwamba.. wewe sio kabila lao.. wanaanza kukuita
..huyo mtu wa kuja.. very mean and stupid..
 
Mji msafi utafikiri uko ulaya jamani. Nimechungulia hata karatasi ya big G hakuna. Ninafiriki miji mingine inapaswa kwenda Moshi na Arusha kujifunza kwa wasafi. Halafu mnasema wachaga vibaya. Nikumbie wachaga wako safi kila idara hakuna wa kupinga. Binafsi mke wangu kipenzi wa zaidi ya miaka 30 ukifika nyumbani kwangu sindano ikianguka nje unaiona bila kutumia nguvu kubwa ya retina. Chooni sisi kwetu hakuna malapa kwa kuwa tunaingia tukila chakula. Hata kwa wakwe zangu kijijini huwei kuamini ni kijijini kwa kuwa ni wasafi kupita maelezo. Yaani ukweli nilimuomba Mungu sana nione Mchaga na Mungu alinisikia. Amebadilisha maisha yangu na yale ya familia yangu kwa ujumla wake. Wana upendo wa na ukarimu wa kufa mtu. Yaani jirani wa kule kijijini ambao tunafahamiana wakitutembele wakirudi kijijini kule kwa wazee enzi hizo ilikuwa ni misifa tu kwa mama watoto wangu. Tuache wivu tuchukue mazuri ya hawa wachagga tusonge mbele tu. Hakuna namna. Shemeji zangu keep it up.
 
Tulieni dawa iwaingie,
Huko arusha ni kijijini tu.
Kungekuwa kuna maisha mazuri masai wasingekuwa wanatoka huko nakuja dar kuwa walinzi, wasusi na kuuza madawa,.
Na hata hao madada wenu wasingekuwa wanakimbia arusha nakuja jijini Dar kujiuza.
Hahahahahahahahaaaaaa
 
Aise kweli wakina kaoge hawa tabia ipo common ndani mwanaume gani ana hoja za kishogashoga hivo.
Kwao ni Mbeya lakini nashangaa hapazungumzii, Anapataja tu Dar.

Bwahahaa! Gasho wanajulikana tu kwa indicators hizi
 
Na hyo tabia inaonekana karidhi kupitia kwa baba ake.

Hvyo ni wa kumpuuza tu.

Kwelii ni chakula.

Wivu tu unamsumbua ameshachanganyikiwa kuona Geneva mbona ni ulaya kabisa wakati kwao bado umeme wa REA haujafika.

Huyu jama ni gasho flani hv.. hvyo mkaushie wala usimpe kiki
Na bado,
Huko arusha ni porini, nendeni longido, loliondo, karatu, monduli, makuyuni, engaruka, mto wa mbu n. k watu wanaisha maisha ya kusikitisha kule. Kwa ushamba wenu mnafikiri arusha ni hapo mjini ambapo ni km 5 na unapamaliza kwa mguu tu.
Ubaguzi utawamaliza ninyi watu wa arusha.
 
mwambie uyo
 
Watu watakata roho huku man.
 
Hatuna muda wa kuwafollow magasho.

Makondakta kakataza. Hivyo pita hv>>>>
 
Ukiishi arusha hasa maeneo ya pembezoni.. kama vile moshono.. wakikugundua kwamba.. wewe sio kabila lao.. wanaanza kukuita
..huyo mtu wa kuja.. very mean and stupid..
Hawa watu wa arusha ni shida, wameshabaguana sana wenyewe kwa wenyewe kule arusha kwa makabila na wilaya zao, sasa wanataka walete ubaguzi wao nchi nzima kwa kuwaiga wakenya.
Lazima wapigwe vita wanapoanza na propaganda kama hizi mitandaoni.
 
Kwao ni Mbeya lakini nashangaa hapazungumzii, Anapataja tu Dar.

Bwahahaa! Gasho wanajulikana tu kwa indicators hizi
Mimi ni mtanzania kwetu sio Dar wala Mbeya.
Ubaguzi utawamaliza ninyi watu wa arusha badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…