Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
Hamkawii kusema CDM NA LEMA Wamechangia.
Nimazaliwa arusha na kukulia arusha huo ndio utaratibu toka siku nyingi. Mwanaume eti ni lazima uwe na alama ya ujasiri(kovu Iiwe la kisu jiwe ngumi panga....). Mi yalinishinda makazi yangu nimehamishia mkoa mwingine.
Lema kawa mbunge wa chuga baada ya yule mama...na kipindi cha yule mmama chuga ndo ilkuwa laana kinoma..kidogo kwa sasa mitaa kama mianzi,na matejoo saa moja moja utakatisha lakini 2006 kurudi nyuma...kusikia pipe kwa jirani daily ilikuwa kawaida aseeh...so sioni uhusiano wa lema na maisha ya ara...maana kina fred j na watu kama father nel masuala ya bisu ilikuwa kabla ya lema...ila kama unamtaja kwa kujifurahisha endelea babuu
Uko sawa kamanda.
Bodaboda zimesaidia sana machalii kujiajiri.
Kuna mitaa ilikuwa ni ngumu kukatiza giza likiingia.
Beto zilikuwa njenje.
Boodaboda zikipigwa marufuku Chuga, itakuwa kutembea mwisho saa 12 jioni.
Ulihama na mamacollins?
ngoja wakiwa mabilionea wataacha
Kamanda unaogopa ngeu...
Sehemu kubwa ya arusha ni maeneo yaliyojaa wahuni. Sehemu unazozitaja wewe ndio chache kuliko mashenzini. Amani ipo lakini si salama. Hata Kenya amani ipo lakini si salama.Mkuu hayo maisha yapo huko ushenzini labda ar ingekua n hiyo shida hizi taasisi z ICTR,EAC,aghakan foundation n jumuia y madola zisingeletwa hapa arusha ipo peace tu.hata SA napo ni chuga nini mana huko ndio wa2 wanachomana visu n mapanga kukatana.
Mtu unakaa sehemu mda wote gongo n bangi inauzwa unategemea wasichomane visu wao mda wote wanacheza kamari wakirusha visu ndio suluhu
Mtu ukikulia mitaa migumu lazima uwe ngirima!
Lazima ujifunze elimu ya mtaani.
Kuhusu visu arusha ni kitambo tu hiyo kitu ilikuwepo na itaendelea kuwepo.
kwahiyo ulihama arusha kwasababu hiyo tu au kuna nyingine mkuu?
Haaaahaaa co mijingaaaa ni watu na mambo zaooo ukiletaaa ukudaaa unapatiwaaa kituu roho inatakaaa
Noma sana, hii mambo ikogo kitambo tu lakini, kwa wenyeji haitusumbui sana. Tutarudi tujaribu kupunguza kwa kizazi kitakachofuata.
Sehemu kubwa ya arusha ni maeneo yaliyojaa wahuni. Sehemu unazozitaja wewe ndio chache kuliko mashenzini. Amani ipo lakini si salama. Hata Kenya amani ipo lakini si salama.
Lema kawa mbunge wa chuga baada ya yule mama...na kipindi cha yule mmama chuga ndo ilkuwa laana kinoma..kidogo kwa sasa mitaa kama mianzi,na matejoo saa moja moja utakatisha lakini 2006 kurudi nyuma...kusikia pipe kwa jirani daily ilikuwa kawaida aseeh...so sioni uhusiano wa lema na maisha ya ara...maana kina fred j na watu kama father nel masuala ya bisu ilikuwa kabla ya lema...ila kama unamtaja kwa kujifurahisha endelea babuu
Mama yupi kabla ya Lema? Wengine kwa kufuata mkumbo hamjambo? Kabla ya Lema mbunge alikuwa Felix Mrema sasa mama alikuwa mbunge wa Kwa Mromboo?