Niko hapa arusha kikazi kama wiki sasa!
Kilicho nishangaza ni kwamba USD hakuna kabisa, yani kuanzia maduka ya kubadili fedha mpaka benki zote hakuna!
Sasa najiuliza, je hii ni kawaida?
Ubinafsi wa kuwaficha watalii zanzibar na kuongezeka kwa hizi ndege ndogo zinazo faulisha wageni kutoka zanzibar hadi hifadhini zimegeuza hifadhi za kaskazini kuwa za day trips! Mahoteli na lodges zoote mijini Arusha wanalalamika hawana wageni tena! Kwanza huko maporini zinatusumbua nimakelele mtindo mmoja, haka kanatua haka kana paa mara haka kana onyesha views yaani pollution of noises kwa wanyama na inaondoa hadhi ya kuwa sasa huko hifadhini!
Zipangieni plan rafiki
Miji ya kaskazini haina tena mafuriko ya wageni kama zamani na matamasha hakuna tena!
Mfumo wa marketing wa TTB hauonekani ukibalansi hii biashara!
Mgeni mathalani anakuja na budget ya shopping na kuspend $25,000!
Unamlazimisha akazitumie zoote Zanzibar kiuhalisia hawezi kuzimaliza!
Kwanza hizi rizki haziendi kwa watu wa chini kama zamani! Maana humo humo mahotelini mnapowalazimisha wakae ndio huko huko huuziwa vitu vyoote mahotelini nakumnyima mjasiria mali wa chini kupata rizki!
Malipo mengi ni online transactions! Wengi hulipia hukohuko nje so zinazokuja hapa ni peanuts moja tu ya ku run safari!
Ni aibu kwa taifa hatutaki wageni waijue nchi , wajichanganye na jamii, watu wazawa wanufaike kwa mantiki hii utali hauna faida kwa mzawa!
Bara bara ndani ya parks zinahariba , ajali ni nyingi lakini ukiangalia kinachosababisha ni mafuriko ya wageni yaliyopangiwa itineraries zisizo rafiki na muda wa kutalii kwa kutulia, ni haraka haraka kukimbia kimbia ilimradi tu mtalii awahi ndege kurudi zanzibar! Ukweli watalii wanauchukia huu mfumo!
Zamani mgeni anasafiri 14 days anaifurahia nchi! Sasa hivi nikimbia kimbia ameona wildlife hajaona ruka eudi Zanzibar!
Sio lazima waziri atafute plans ningeshauri wizara ikutane mapema na waongoza watalii maana wanalalamika na kunakuwa na exchanging words kati ya mgeni na muongoza watalii na kibaya zaidi travel agents wa zanzibar kuwapa wageni wrong informations hususani kuhusu Tanzania mainland sio professional! Unapomwambia mgeni unaenda nchi ya Tanzania uwe makini ni wezi hivyo usinunue chochote uje ununue huku nchi ya Zanzibar hii is very primitive and shallow mind conversation! Zanzibar hamna ebony tree kule na sisi tukianza kuwaambia mnawauzia vifuu na dating palm tree products itakuwaje!!?
Please, Minister shufhulikia hili na mkihitaji ushauri kutana na WAONGOZA WATALII hawa ndio wanai market nchi achana na hawa wa maofisini!
$$ kwa wote