Arusha haina hadhi ya jiji,ifutwe

Sasa ukiibeza Arusha hivyo na Mbeya na Mwanza utasemaje?

Usilinganishe Mwanza na Arusha arifu,,,
kwa Population Mwanza ipo mbali sana laiti Geita isingetolewa ingekuwa as almost as Dsm...
Kwa Pato la taifa Mwanza ni ya 3 nyuma ya Dsm na Iringa...
Kwa madini ndo usipime,ila watu hawana tambo huku Waganda wanatapeliwa Billions of money mara kwa mara na hutosikia stori mtaani,nenda r chuga chacha hadi mtoi mdogo atajua..
Arusha tambo nyingi na hakuna kitu,,i miss my hood Sakina kule nyumba ya bluu nasikia siku hizi na penyewe na High class
 
Member wengine jamani mawazo yao cjajua yanalenga nini haswa.
 

Umesema kweli mkuu....Wahusika ni kama wamejisahau....Hakika mimi ni mzaliwa wa Arusha lakini mji ni mchafu sana......

Ni jambo la ajabu sana katikati ya mji kuwe na masoko manne kwa mpigo...NMC, Krokon, Soko Kuu na Kiolombero....Ni kitu ambacho hakiwezrkani kabisa, lazima mji utakuwa mchafu tuu.....

Halafu mji hauna facility za kufanyia usafi wa bara bara...Huwezi amini wale kina mama wanaofanya usafi wanatumia mafagio ya chelewa...Barabara zimegandiana matope ya mvua za masika sijui ya miaka mingapi...!! Inasikitisha sana.....

Madiwani wa Arusha na Halmashauri kwa ujumla inatakiwa kuchukua hatua za ziada kunusuru hali hii......
 

karibu tena this year,yote hayo yameshughulikiwa teyari ndg,karibu
 
Arusha bado, mpango mzima ni Mwanza.

Mwanza ndio jiji la pili Tanzania, Arusha ni ya tatu. Hivyo tambo zozote lazima mhakikishe nafasi ya arusha ni 3rd place.

CC: Rock City , Buswelu Rockcity native
 
Last edited by a moderator:
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.

........Town shuttles (daladala) ni barabara mbili tu, Uhuru Rd, na Moshi Arusha.
 

Kwa hiyo hapo ulipo wewe ndo pamekamilika,tupe sifa za ukamilifu wake,ambazo unadhani Arusha hakuna.umekaa na cmu yako unaandika aandika tu,tembea uone
 
Ara chuga ni pa ukweli kuanzia madini,biashara,kilimo almost everything bila kusahau inaingiza pato la taifa kubwa sana. labda wewe umeangalia kigezo cha kutokuwa na bahari ndo maana unapondea ila Arachuga oyeee

oyeeeee
atakua hajaona bandari na bahari huyu,kuna mikoa ya kuiponda ila Arusha amekosea sana sana hata kwa bilions of money mtu hajanihamisha Arusha.nipo radhi niache kazi na si kuhama Arusha.welcome to the GENEVA of Africa!
 
oyeeeee
atakua hajaona bandari na bahari huyu,kuna mikoa ya kuiponda ila Arusha amekosea sana sana hata kwa bilions of money mtu hajanihamisha Arusha.nipo radhi niache kazi na si kuhama Arusha.welcome to the GENEVA of Africa!
Mkuu hata mimi sikatai, Arusha ni patamu sana....Lakini nakuhakikishia mji wa Arusha ungekuwa number one Tanzania kama kungekuwa na bara bara za kutosha( single lane ni michosho)...Kwasasa mji umekuwa congested kiasi kwamba hata ujenzi wa bara bara unakuwa mgumu.....
 
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.

Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
Naunga mkono hoja...................... Ifutiwe hadhi ya jiji mpaka Mulugo atakapotimuliwa A town then kitu kirudi! Jiji lirudi kawaida!
 
we ndo unaandika andika. kama ni mchunguzi tafuta wewe mwenyewe sifa za mji kuwa jiji, kwa ufupi Tanzania bado miji yetu kuitwa majiji ila kwa sababu tuko hivi, kila mkoa unaweza kuwa jiji. leo hii hayo yanayoitwa majiji, utakuta ni wilaya moja tu ya mkoa huo au mbili, mfano si mwanza yote au arusha yote ni jiji kwanini wanafanya HIVI?
 
waje juu warudi chini kamwe arusha haiwezi kuwa juu ya Mwanza, tumeshawaacha mbali sana, wenyewe ni njiro tu ndo jiji
 
Jiji ni moja tu bongo hii.. Ingawa mwanza balaa.. naonaga tofauti ndogo sn na dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…