Weweeeeeee,chezeya Arachuga weyeee?
Ebu njoo nikupige na kongoro hapa mitaa ya karoleni(PICNIC BAR)Kisha rudi Dar kawaeleze hao waliokutuma,Dar changudoa mpaka wa jero unapata na unakesha nae,hapa Arusha bao moko ni buku 20.
Hali ya hewa safi kama europe.
Viwanja bei ya chini Arusha ni tsh 20m tena ni kisongooooooooo!?
Population kuuuuuuubwa.
Tatizo lenu manaisoma Arusha kwenye katuni,njooni muone mambo,this is Geneva of Africa bhana.
Hamna kitu kule, watu wenyewe mimeno imewaoza, kiswahili kibovu, mji uko ovyo bora hata Tanga.
Arusha tunaongoza kwa wingi mabilionea
Arusha ni mji mkubwa, ila kiuhalisia hadh ya jiji ni kwa Tanzania, ila jiji hasa hadhi hiyo haijafikiwa Tanga na hata Mbeya. Mwanza ndo kidogo kibongobongo inaweza kufit. Dar ina wilaya ambazo ni manispaa pia za Kinondoni,Ilala na Temeke. Tukichukulia manispaa ya Kinondoni kwa mfano, zinayafunika kila jiji kati ya Arusha, Tanga na hata Mbeya kwa kila kitu kwa maana ya idad ya watu,kodi, ukubwa wa eneo la mji
(urban proper) na miundombinu. Kama miji ya Tanga,Arusha na Mbeya ni majiji basi Ilala, K'ndoni na Temeke zipew hadhi hiyo, la sivyo kuna siasa tu hapo. Inakubalika kuwa ni kweli ukiondoa Dar na Mza, miji mingine mikubwa na yenye uchumi ni Arusha, Tanga na Mbeya na inakuwa kwa kasi ila kuwa jiji per se, bado jamani
Si kweli kwamba tunawatangaza wenyewe, wanaandikwa na magazeti yanayoheshika hapa nchini. Siyo mabillionea wa sehemu nyingine ambao utawasikia kwenye nyimbo za Akudo na Ngwasuma tu.Ni kweli mkuu, huko kwenu mtu akiwa na vijisent vya kubadilisha mboga na zaid akiwanunulia mataputapu kwenye vibaa vyenu uchwara, mnamwita "bilionea", na weng ni wao majambazi.
HahahahahaKwa hiyo wewe ndo mara yako ya kwanza kwenda Arusha kutoka ushago siyo?
haters just hate. Arusha didn't do you any wrong, people of Arusha didn't do you any wrong. you just hate us.
Arusha tunaongoza kwa wingi mabilionea
Hapa kwenye msimbazi siyo kweli. Arusha kuna machangudoa wanatoa huduma kwa mali kauli. We ukimwambia unatoka mererani una ukame wa miezi kadhaa ila madini hujapata, atakuhudumia as if umemtolea mahari.
Arusha oyeeeeee
Ni kweli mkuu, huko kwenu mtu akiwa na vijisent vya kubadilisha mboga na zaid akiwanunulia mataputapu kwenye vibaa vyenu uchwara, mnamwita "bilionea", na weng ni wao majambazi.
Naamini hujielewi... uliza, ufahamu ukweli, then utaongea kwa hoja sio hisia
Mbona husemi kuhusu moshi sasa?moshi ni mji bora kuliko arusha
Hamna kitu kule, watu wenyewe mimeno imewaoza, kiswahili kibovu, mji uko ovyo bora hata Tanga.
Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.
Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
Weee..koma kabisa...kama ujawai kuskia wala kuona ni wewe..vituo vyenyewe dar wamejaa watoto wa jiji la arusha.to name a few..deo rweyunga, abubakar sadiq, millard ayo, vanessa mdee, adam mchomvu, b12, sam misago, dj nani..sijui..yani list ni refu mnooo...ARUSHA IS SWAG, DAR IS WACK.Sifa kibao lakini Arusha bado sana ,sijui kina nani hao wameipa hadhi ya jiji,kila kitu ovyo,miundombinu hakuna,mpangilio mbovu wa makazi,idadi ya watu ndogo,wala sijawai sikia kituo cha tv Arusha.
Arusha irudishwe kuwa municipal na sio jiji.
Hapo kwenye msimbazi,hao lazima watakua ni wazaramo wa Dar,maana demu wa Kiarusha hakubali sound mkuu.Hapa kwenye msimbazi siyo kweli. Arusha kuna machangudoa wanatoa huduma kwa mali kauli. We ukimwambia unatoka mererani una ukame wa miezi kadhaa ila madini hujapata, atakuhudumia as if umemtolea mahari.