Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Ccm ndio wanaipeleka pabaya nchi hii,mie sijui wanataka nini? vurugu za udini wao ndio waasisi,mauaji ya albino wahusika wao,mauaji yanayofanywa na policcm wao hivi hawa wanataka nini au wamechoka kula hela zao za kifisadi?
View attachment 69312
huyu ni mmoja wa makamanda aliyeumizwa vibaya huko Daraja mbili!
Ni aibu kwa msomi kushindwa kujadili mambo ya kisera na kuishia kushabika udaku!Mkuu Ritz;
aahhha mkuu unataka kuweka pambo ukutani? Yaani siwezi kuamini jinsi jamaa anaovyoonekana mwenye furaha na mkewe halafu anatokea muhuni mmoja bila haya wala aibu anamdhulumu furaha yake.
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Ritz;

Arusha imekuwa jiji?
Hapo red Kamanda! Huyu j4 ni soo hapa town enzi yake na nikukikutana naye uso kwa uso hakika tutazikunja tu!
Namjua sana na hata anaponyea bila shaka ninajua!
Labda nisikutane naye!
Nawatamani sana siku moja wajiroge waingie anga zangu,lazima mmoja wao akitoka hapo ni labour case, wananitia hasira sana hawa magaidi wanaofunzwa na ccm
Leo jioni green guards wamewashambilia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasiliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.
Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na jumanne mjusi
kitendo cha kuwabeba mashabiki kutoka Dar mpaka Arusha ndio kinawafanya wakonde ingawa wana kula vizuri na kupata huduma zote nzuri. CHADEMA inawanyima usingizi. Na bado mpaka 2015 wataokota makopo kabisa maana CDM itakuwa imewagaragaza mbaya.Hapo cjui!JK anakuja Arusha kuzindua jiji!cjui atapata wapi watu wa kuwahutubia,labda wawabebe kama kawaida.Hawa ma ccm wanawalazimisha watu wawakubali wakati hawana sera wala huruma kwa wananchi!!?wangewaleta wa kwao kwenye mikutano yao na cyo kuwalazimisha na kuwapiga wananchi wasio na hatia
Ni aibu kwa msomi kushindwa kujadili mambo ya kisera na kuishia kushabika udaku!
hapo kwenye red tafadhali. kuzindua jiji ni kazi ya kiserkali na si kazi ya kichama, usichanganye majambo mawili haya. JK akija atakuja kuzindua kama Raisi na sio M/kiti, kwa hivyo kwa umoja wetu itabidi tuendeHapo cjui!JK anakuja Arusha kuzindua jiji!cjui atapata wapi watu wa kuwahutubia,labda wawabebe kama kawaida.Hawa ma ccm wanawalazimisha watu wawakubali wakati hawana sera wala huruma kwa wananchi!!?wangewaleta wa kwao kwenye mikutano yao na cyo kuwalazimisha na kuwapiga wananchi wasio na hatia