Arusha: Green guards wawapiga wananchi wa Daraja mbili

Haikumwagiga damu kumg'oa mkoloni mweupe, lakini CCM ni mkoloni mweusi king'ang'anizi, anapiga na hata kuua ili abaki madarakani. Green Guards ni militia ya CCM ya kufanya vita dhidi ya Watanzania kama itabidi, na kama ambavyo imeshabidi.

Ni muhimu CDM iunde kitengo cha kukusanya ushahidi. Ningeshukuru kama kingeongozwa na Kamanda Lisu. Tukisharudisha tena utawala wa kisheria basi wote wale waliopiga na kuua with impunity wafikishwe mahakamani. Lazima mwishowe haki itendeke.

Lazima mwishowe hawa Green Guards wafungwe. Lazima mwishowe RPC Kamuhanda, RPC Andengenye, Kamishina Mwema na wote wale ambao sasa wamejitwalia sheria mkononi wafungwe. Wengi wao wanadhani sasa watang'atuka na kupumzika uzeeni, lakini ukweli ni kwamba watafia jela.

CDM inawajibika kuhakikisha haki itatendeka, hakuna damu itamwagwa kama ya kuku. Lazima wahusika waajibishwe.
 
Mjusi anatakiwa akamatwe haraka sana, hanatofauti na akina shekhe ponda na farida, hawawote wavunjifu wa amani.
 
Mjusi anatakiwa akamatwe haraka sana, hanatofauti na akina shekhe ponda na farida, hawawote wavunjifu wa amani.
Hawawezi kukamatwa kwa sasa. Nakumbuka Malechela alipokuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM aliwaambia waziwazi dola ni yao, hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote. Kauli hiyo hiyo (exactly the same words) ilirudiwa na Yusufu Makamba alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM, na Rais Kikwete alipowahutubia hao vijana kwenye semina kule Singa Chini (Moshi).

Tunachoweza kufanya sasa ni kukusanya ushahidi. Nashauri tusiingie vitani nao. Tutawafunga WOTE baadaye.
 
Leo jioni green guards wamewashambulia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasaliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.

Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na jumanne mjusi

cc: Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:

C.C: jakaya kikwete
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom