Mkuu samahani lakini ni-PM hiyo picha.
Wakuu mimi ni moja wa waathirika wa vurugu hizo, nilikuwa kwenye gari moja na huyo kamanda aliyejeruhiwa nilipigwa vibaya sana hata sasa siwezi kugeuza shingo yangu! Huu unyama wa CCM utafikia mwisho wake hivi karibuni! Wametupora laptop, iPAD, na simu! Kweli hawa jamaa ya CCM ni vibaka!
huyu Jumanne Mjusi inasemekana ni Jambazi sugu la muda mrefu wakuu
Mungi, even kids are fade-up! I wonder watu wazima still embracing that party.
Kamanda hali kona anapambna mpaka tone la mwisho la damu yake
Mwenye masihara ni aliyevuruga hii ndoa takatifu..View attachment 69316
aisee jumanne mjusi yule jambazi sugu ndio green gurd wa ccm .hatari kubwa ccm sasa inakoende sio chama tena ni genge la ujambazi.
huyu Jumanne Mjusi inasemekana ni Jambazi sugu la muda mrefu wakuu
Mkuu Chama, mapenzi hayalazimishwi! kama mwanamke anakuwa limbukeni na anaamua kukutosa unasababu gani kuendelea kumng'ang'ania? Si unakauka kwanza moyo uzoee kisha unaanza upya? Mbona wapo wengi tu hawa! achana nae! songa mbele, tafakari maswala makubwa, haya madogomadogo unawaachia watu wadogowadogo waendelee nayo!Mkuu Gwalihenzi
Tatizo liko wapi? hayajakukuta haya siku yakikukuta utasahau kama kuna kitu kinaitwa sera
Chama
Gongo la mboto DSM
Mbona kama imekuuma sana kama ulikuwa unamtaka jamaa akuoe wewe ungefunguka tu: hujachelewa by the way unaeza olewa mke wa pili maana seems unawas:hwa mbaya.
Laana itazidi kuongezeka. Sijui kama watamaliza mzozo wao wa chaguzi zao za rushwa. Nilishawahi kutabiri humu kuwa mwisho wa CCM ni 2012 watu wakaniona labda hayawani. Narudia tena mwisho wa chama cha mafisadi ni dec 2012.
hivi sisi chadema tutalialia mpaka lini? hao green gurd walikuwa wangapi? na kesho mtawaacha waendelee kutamba mitaani...
Leo jioni green guards wamewashambulia na kuwaumiza vibaya wananchi wa daraja mbili kwa madai kuwa wamewasaliti. Hali hiyo ilitokana na wanachi kuonyesha ishara ya vidole viwili vitumiwavyo na chadema.
Baada ya kichapo hicho kada mmoja wa chadema alipigwa na green guards na kuumizwa vibaya na kushonwa nyuzi nne, amepigwa mbele ya polisi na green guards wakiongozwa na jumanne mjusi
View attachment 69312
huyu ni mmoja wa makamanda aliyeumizwa vibaya huko Daraja mbili!
Vipi ndugu upo nyumba ya kupanga nini na umeandika kupitia simu ya mchina ukiwa chooni na mpangaji mwenzio amekugongea anahitaji kuingia chooni maana ujumbe wako umeuandika bila fikra pevu.Baada ya uamsho sasa ni chadema.Ni mwendo wa piga, ua, tafuna, meza,sahaukika duniani.Nawahakikishia chadema mtafutwa na msajili wa vyama na kupotezwa kwenye nyanja za siasa.
Umeambiwa walikuwa wanapigwa chini ya usimamizi wa Polisccm wakiwa na siraha ulitarajia wafanye nini na ungekuwa wewe ungefanya nini?Kamanda gani kapigwa hahahaha kmanda wa muvi ya kidosi....chezea Jumanne Mjusi