Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

Ngoja nifanye jitihada ya kuzitafuta products za St. Joseph popote Tanzania, za Udom tayari ninazo na nimeziona zilivyo; halafu pia nataka kama ikibidi nizione na zile za Morogoro Islamic university ili nilinganishe vizuri.
Product za st joe ambazo zimeiva ni ile main campus ya dar ambayo inatoa product ya engineering.Ila vilivyobaki ni magumashi tu.
 
St. Joseph sio ya wakatoriki labda St.Augustine. Pia magazeti huwa hayaangaliwei bali yanasomwa"Read newspapers" pia website huwa haiangaliwi bali inatembelewa " Visit our website"
hivi kweli notisi hii imetolewa na mkuu wa chuo au?
 
Wanafunzi wa vyuo hivi wana haki ya kimsingi ya kupiga kelele. Katika vyuo hivi hakuna shule. Lakini TCU inaacha kuwapeleka vyuo vya serikali inawapeleka vyuo hivi. Pamoja na Kampala University. Mtakumbuka kelele zilizopigwa miaka ya nyuma. Pamoja na hivyo BODI ya mikopo inawapa pesa hata kuzidi vyuo vya serikali. Eti na engineers registration Board best students wanatoka kwenye vyuo hivi. Ni aibu kwa taifa ni kuuwa elimu na nchi kwa ujumla.

Tuombe waziri muhusika hili suala lichunguze
Mkuu ulitaka product nzuri za engineering zitoke vyuo gani?.
 
St. Joseph sio ya wakatoriki labda St.Augustine. Pia magazeti huwa hayaangaliwei bali yanasomwa"Read newspapers" pia website huwa haiangaliwi bali inatembelewa " Visit our website"
hivi kweli notisi hii imetolewa na mkuu wa chuo au?
Kuelimika sio kujua kingereza cha kuongea.But nashindwa kuelewa kashindwa mpaka cha kuandika?.
 
St. Joseph sio ya wakatoriki labda St.Augustine. Pia magazeti huwa hayaangaliwei bali yanasomwa"Read newspapers" pia website huwa haiangaliwi bali inatembelewa " Visit our website"
hivi kweli notisi hii imetolewa na mkuu wa chuo au?
St joseph ipi ambayo sio ya wakatoliki?.Hii stt joseph ambayo mpaka block moja wameiita Kadnary Pengo?.
 
Siku zote Catholic wapo smart, hili la vyuo vikuu linawaondolea usmart wao.
Chuo kinamilikiwa na The society of Daughters of Mary immaculate DMI- India sio kanisa katoriki Tanzania, read btn line acha kupotosha. Hawa Wahindi wanapaswa kuchunguzwa kuna tatizo gani? Na kwanin hawafuati masharti ya TCU na NACTE, na sheria za nchi.
 
Na kingekuwa kinamilikiwa na wakatoriki hakuna mwanachuo anayeweza kusubutu kuanzisha fujo. Ila wahindi ni waoga tu. Fuatilia kam,a kuna SAUT yeyote yenyew historia ya migomo? "ukatorick sio dini ni utawala"
 
Baada ya kufungwa kwa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea, wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph Arusha wamekuwa katika hali ya wasiwasi wakiogopa kama ya waliowakuta wenzao wa Songea na kuleta hali ya sintofahamu chuoni hapo.

St.joseph Tawi la Arusha kimefungwa chuo hicho rasmi hadi hapo NOTICE itakapotolewa.

Wanafunzi wametakiwa kurudi Nyumbani kwao, hadi hapo taarifa itakapotolewa.
IMG-20160224-WA0025%255B1%255D.jpg
Dahhhhh
 
Siku zote Catholic wapo smart, hili la vyuo vikuu linawaondolea usmart wao.
Siku hizi ni blabla tu.
Huu ni mtazamo wa zamani sana usio na uhalisia. Wazungu waliokuwa wanawabeba katoliki wamekwisha. Siku hizi mambo mengi ni ya kuungaunga.
 
u
Na kingekuwa kinamilikiwa na wakatoriki hakuna mwanachuo anayeweza kusubutu kuanzisha fujo. Ila wahindi ni waoga tu. Fuatilia kam,a kuna SAUT yeyote yenyew historia ya migomo? "ukatorick sio dini ni utawala"
Na kingekuwa kinamilikiwa na wakatoriki hakuna mwanachuo anayeweza kusubutu kuanzisha fujo. Ila wahindi ni waoga tu. Fuatilia kam,a kuna SAUT yeyote yenyew historia ya migomo? "ukatorick sio dini ni utawala"
Na kingekuwa kinamilikiwa na wakatoriki hakuna mwanachuo anayeweza kusubutu kuanzisha fujo. Ila wahindi ni waoga tu. Fuatilia kam,a kuna SAUT yeyote yenyew historia ya migomo? "ukatorick sio dini ni utawala"
Hata kama hakikidhi vigezo wanafunzi wavunilie kisa nikatoliki?.

Acha kucheza na future za watu brother.
 
Nan kakwambi wamefanya fujo?? Umesoma vema au umekurupuka
asante...nitakuwa nimekurupuka...ila wewe uliyetulia hukuiona hii sentensi....''students have disturbed the peace and tranquillity and leaning atmosphere in the campus''
 
Back
Top Bottom