Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Huku chama cha majambazi kikifanya kikao cha sendoff, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Sombetini wameendelea kuiadhibu ccm bila huruma kwa kufanya mikutano miwili na wanampango wa kufanya mikutano mitano mpaka hata hicho kikao cha sendoff kikose wajumbe.
Umati kama huu ambao kwa chadema ni wa kawaida sana lakini kwao lazima watoe pesa kwa madereva bodaboda, mabalozi wao wilaya nziba lazima wafike kuokoa jahazi...
Diwani wa kata ya Sombetini Kamanda Ally Bananga akiwa na Kamanda Lema.
Jessica Kishoa kiboko ya Mwigulu nchemba
Ally Bananga diwani wa Sombetini anayesubiri kuapishwa akiwa na Kamanda Doric na Jessica(Kiboko ya Gaidi Nchemba)...