Haya maneno tu, CCM itaendelea kuwaburuza tu.
kibaya chajitembeza , kizuri chajiuza, wewe utakuwa kibaya tu.
Haya maneno tu, CCM itaendelea kuwaburuza tu.
LB7 wako wapi kukanusha haya?
Mwenyekiti bidii yake yote anajenga watu binafsi na mabilionea lakini sio chama, na ndio maana habari kama hizi zinakuwa pigo kwa 'ccm imani' lakini hawa 'ccm maslahi' wanachekea.
Pamoja na yote, pongezi za awali zimwendee Mh. Lema na team yake.
Hii si kweli kwa sababu sasa hivi mgombea wa olmatejoo A yuko jukwaani anajinadi.
Shughulika na esikoroo kwanza, mfupa uliokushinda!Haya maneno tu, CCM itaendelea kuwaburuza tu.
weka picha mkuu..Hii si kweli kwa sababu sasa hivi mgombea wa olmatejoo A yuko jukwaani anajinadi.
Haya maneno tu, CCM itaendelea kuwaburuza tu.
Sababu kubwa siyo CCM makao makuu imefanya nini, bali CCM imekufa Arusha, haipo kabisa
Mkuu mimi sijfariji kwani mimi ni chadema damu, na ni mjumbe mtarajiwa wa matejoo A katika ile posters ya wagombea mimi ni mmoja kati ya wajumbe, nimeamua kujipambanua ili ujue siko ccm, matejoo B kuna mtafaruku kwa sababu huyu jamaa aliewekwa na ccm mtaa mzima haumtaki, na kwa mtaa wa matejoo A mwenyekiti wa zamani wa ccm mwalimu abdalah pia anawashawishi ccm wachague chadema kwa sababu walimtoa kwa fitna ktk kura za maoni, ila mgombea wao SHEMWATA amekomaa kweli kweli na anagawa hela kama njugu mtaani, n jamila mtoto wa mwalimu abdalah nae anagombea ujumbe ccm anapita nyumba hadi nyumba mara 3 kwa siku kama dozi kushawishi watu wachague ccm na wananunulia wananchi vinywaji na kuwapa ahadi kem kem, leo wamepita wakigawa t.shirt za njano kwa vibinti ili wasaidie kuwakumbusha watu kuwa ccm ndio itayo tengeneza ile barabara inayopitisha maji mpaka imechimbika na wamegoma isitengenezwe mpaka uchaguzi upite ccm ishinde ndio ukarabati ifanywe, mpigie simu mheshimiwa diwani mpinga au mwenyekiti wa chadema kata ya elerai DAMUNI umuuelize kama SHEMWETA kajitoa akuambie, jamaa hawezi jitoa kwa sababu kaipigania hii nafasi ya ugombea kwa garama kubwa sana,
Mkuu, ebu wacha kujifari nyuma ya keyboard, Unaijua Matejoo "A"
Kwa kukusaidia ni kwamba, baada ya mkutano wa ccm uliofanyika jana pale Matejoo "B" na kumalizika saa kumi na robo baada ya kuona hakuna mtu yoyote anayetaka kuakaa kwenye viti mlivyoviandaa, wagombea Uenyekiti wa mitaa zaidi ya 9 walikutana kwa mama mmoja (kada wa ccm asiyejitambua) na kufanya kikao cha siri ambacho kilizua malumbano yaliyopelekea mpasuko huo.
Stay tuned na nitakujuza yanayoendelea.
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.
Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-
Mtaa wa-
Sababu kubwa iliyowafanya mpaka waamue kuchukua uamuzi huo ni kushindwa kufanya kampeni za nje na kulalamika kuwa ccm makao makuu inachuki binafsi na mikoa ya Kaskazini hivyo basi timu nzima yaKinana na Nape imezira kuwasaidia ili kumdhoofisha Mbunge wa Munduli katika safari yake ya matumaini. na mjumbe mmoja jina kapuni amenidokeza kuwa kuna mpango maalumu ulioratibiwa na kambi fulani ya wagombea Urahisi ili kuakikisha ukanda anapotokea Mbunge wa Munduli viti vingi vya serikali za mitaa vinaenda upinzani
- Olmatejoo "A"
- Olmatejoo "B"
- Mama Muasa
- Navarana
- Melamari
- Sakina
- Shamsi
- My River
- Majengo "B"
Kama Wahenga walivyokwisha kusema "Vita vya panzi................................." Mimi binafsi nikiwa Mgombea serikali za mitaa nimefaidika na kujitoa kwa hao wagombea wa ccm.
Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.