Arusha black list.

Arusha black list.

kwahiyo walikuwa wanafazili? maana wote nasikia walikuwa na mafweza kibao. duh.
 
Inaoneka mleta Thread kama ana majibu yote sasa why utuchose na maswali? Tudokezee tu majawabu tujue.

Na kama uko serious si utuwekee na hiyo Blacklist mkuu.

Tofauti na hapo naona hii ni ile Shigongo style
 
Arusha black list ndio wanashughulikiwa sasa.....jk alikuja akafanya mazoezi asubu tena kwa miguu....

Unajua sababu ya jk kuja kufanya jog kwa miguu arusha mnaijua?
Tena akiwa ameongozana na walinzi wake wachache akipunga mikono kwa wananchi bila wasi wasi wowote pamoja kwamba mlitangaza uhuru wa kaskazini na mwenyekiti wenu bw.Lema

muulizeni lema atawaambia yeye nani mzamini wake aliefanya apite awe mbunge wa arusha mjini na ilikuaje yeye akashinda mala mbili jimbo hilo mala ya kwanza kwa uchaguzi mkuu na mala ya pili mahakamani?

Kwanini kikwete hajawai kutembea kwa miguu dar mwanza na mbeya aje atembee hapo atown tena kwa kujiamini.

Kwanini wale waliokua wanajua jk anawatega walikimbilia kenya wengine dubai na wachche walio enda moshi kuvuna kahawa wakati mheshimiwa yupo atown?

Macomandoo wa atown si ndio wazamini wa M4c?

Tanzania tuna tatizo kubwa kabisa kwenye mfumo wa elimu. Huyu aliyeandika hapa anaweza kuwa ni mhitimu wa chuo kikuu, tena ana passes nzuri kabisa! Sasa kama hata kuandika kiswahili tunashindwa, ni nini tunaweza? Nimeshangaa kweli kweli kweli!
 
kwa hiyo na marehemu bw. NYITI mfadhili wa magamba yalionyonyolewa na Nassari ni mmoja katika list?
 
Arusha black list ndio wanashughulikiwa sasa.....jk alikuja akafanya mazoezi asubu tena kwa miguu....

Unajua sababu ya jk kuja kufanya jog kwa miguu arusha mnaijua?
Tena akiwa ameongozana na walinzi wake wachache akipunga mikono kwa wananchi bila wasi wasi wowote pamoja kwamba mlitangaza uhuru wa kaskazini na mwenyekiti wenu bw.Lema

muulizeni lema atawaambia yeye nani mzamini wake aliefanya apite awe mbunge wa arusha mjini na ilikuaje yeye akashinda mala mbili jimbo hilo mala ya kwanza kwa uchaguzi mkuu na mala ya pili mahakamani?

Kwanini kikwete hajawai kutembea kwa miguu dar mwanza na mbeya aje atembee hapo atown tena kwa kujiamini.

Kwanini wale waliokua wanajua jk anawatega walikimbilia kenya wengine dubai na wachche walio enda moshi kuvuna kahawa wakati mheshimiwa yupo atown?

Macomandoo wa atown si ndio wazamini wa M4c?[/QUO
mkuu gongo mbaya mkuu, acha gongo mkuu
 
Arusha black list ndio wanashughulikiwa sasa.....jk alikuja akafanya mazoezi asubu tena kwa miguu....

Unajua sababu ya jk kuja kufanya jog kwa miguu arusha mnaijua?
Tena akiwa ameongozana na walinzi wake wachache akipunga mikono kwa wananchi bila wasi wasi wowote pamoja kwamba mlitangaza uhuru wa kaskazini na mwenyekiti wenu bw.Lema

muulizeni lema atawaambia yeye nani mzamini wake aliefanya apite awe mbunge wa arusha mjini na ilikuaje yeye akashinda mala mbili jimbo hilo mala ya kwanza kwa uchaguzi mkuu na mala ya pili mahakamani?

Kwanini kikwete hajawai kutembea kwa miguu dar mwanza na mbeya aje atembee hapo atown tena kwa kujiamini.

Kwanini wale waliokua wanajua jk anawatega walikimbilia kenya wengine dubai na wachche walio enda moshi kuvuna kahawa wakati mheshimiwa yupo atown?

Macomandoo wa atown si ndio wazamini wa M4c?

Kajifunze kiswahili sahihi,
 
hivi hoja nzito za lema bungeni unataka kutudanganya yule mtu kabebwa!!!1 tena kwa kiswahili kibovu eti mala mbili badala ya ''mara mbili''. hii inaonyesha wewe arusha hupajui na si mwenyeji ni wakupita tu kama hoja yako?. mbona hujabebwa wewe?
 
Hii thread ni kama vijiwe vingine tu, ila utofauti ni zile story za vijiweni hii ipo kidijitali zaidi.
 
kwa hiyo na marehemu bw. NYITI mfadhili wa magamba yalionyonyolewa na Nassari ni mmoja katika list?

ajabu ndiyo hiyo! Nijuavyo mar.Nyiti alikuwa mfadhili wa magamba na hata kikwete aliwahi kuandamana nae kny ziara ya US one time,Babu Sambeke nae hakuwa mbali na system..Hii thread haina mantiki
 
Huwezi jua babu mimi najua wana jf wana akili sana nyie mlietumwa na babu kutuchafulia jukwaa ndio mnaishobokea ila wale gret thinker wanajua nn kinaendelea naomba wanajamii wa ukweli wasio kuwa upande wowowte waje wawafundishe nini maana!

Sio leo na hii itakua my style kuwajuza msipo angalia mtapotea wote watoka povu wa babu na dj andre lajo kazi mnayo..........

Niwaambie kitu?
Cuf waliweza kuishika znz chadema wako bara mnatupoteza maboya tuuu lakini ukweli ndio huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom