Arusha bila Lema

Arusha bila Lema

sambeke

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
713
Reaction score
651
Yaani ndugu zangu wa mikoa mingine, labda niwaambie tu kuwa kwa sasa Arusha imetulia bila Lema. Watu wanachapa kazi, maisha yanasonga.

Tuko vizuri hata Bbla ya kuwa na mbunge, mbunge Lema alikuwa muhamasishaji wa vurugu kila kukicha. Kama kuna uwezekano naiomba mahakama iendelee kumshikilia na ikiwezekana afungwe tu.

Kiukweli wananchi wa Arusha tulimchagua Lema atupiganie ishu za maji, barabara madawa elimu n.k lakini anatuletea story za kuota ndoto. Huu ni upuuzi na ukosefu wa maarifa ya mbunge juu ya kutuletea maendeleo.

Kwa Sasa Arusha ilivyo nimeamini Lema ndio kikwazo cha maendeleo ya Arusha.
 
Nilijua tuh jins wabongo walivyo vichwa vya Panzi watasahau yale ya mapesa ya tetemeko kagera na kushupalia haya ya lema Daah.
 
Lema hata akae gerezani miaka 50 bado ataendelea kuwa mbunge wa A-Town
Mtu akifungwa au aliyewahi kufungwa sheria za Tanzania hazimruhusu kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi hapo anakuwa kaaga vyeo vya kisiasa vyote.

Usichanganye na mambo ya siasa za Afrika ya Kusini ambapo Mandela alipotoka jela aliruhusiwa kugombea. Lema mwambieni kama anatafuta umandela kupitia jela imekula kwake. Sheria za Tanzania tofauti na za Afrika ya Kusini .Kama ana mshauri koko kampotosha mwanasiasa wa Tanzania kwenda jela ni kujiua kisiasa si kujijenga kisiasa. Tatizo CHADEMA hawana washauri wazuri wa siasa, wana wahuni wa kisiasa.
 
Haiwezekani eti zaidi ya miaka 55 ya uhuru ni ile ile mbele kwa mbele watu wa Tanzagiza wananuka umasikini uliopitiliza, maradhi tena ya ajabu, ufisadi uliotamalaki na kusimamiwa na watawala, ujinga uliopitiliza.
Na kadha wa kadha
 
Mtu akifungwa au aliyewahi kufungwa sheria za Tanzania hazimruhusu kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi hapo anakuwa kaaga vyeo vya kisiasa vyote.

Usichanganye na mambo ya siasa za Afrika ya Kusini ambapo Mandela alipotoka jela aliruhusiwa kugombea. Lema mwambieni kama anatafuta umandela kupitia jela imekula kwake. Sheria za Tanzania tofauti na za Afrika ya Kusini .Kama ana mshauri koko kampotosha mwanasiasa wa Tanzania kwenda jela ni kujiua kisiasa si kujijenga kisiasa. Tatizo CHADEMA hawana washauri wazuri wa siasa, wana wahuni wa kisiasa.
Kwa hiyo mmemuweka jela ili asigombee tena Ubunge
 
Back
Top Bottom