Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,910
- 6,706
Wakurya je?Kuna wameru, wamasai, watu wa Mara hizi jamii wakorofi sana
Wakurya je?Kuna wameru, wamasai, watu wa Mara hizi jamii wakorofi sana
Ndio hapo watu hawaelewi tu,Watu wanaovuta bangi wanajitambua sana huyo mtuhumiwa hayupo sawa mentally
Bangi ni mbaya period!!Bangi sio mbaya… kuna wavutaji baadhi ndiyo wapuuzi.
Haiko uniform kwa kila mtu. Wako ambao bangi inawapotezea umakini wa kufikiri na utulivu wa akili (mental stability). Ni reactions tofauti tofauti kwa mtu na mtu. Mwingine huzuni kila wakati; mwingine ujasiri wa ovyo hata pasipostahili; mwingine upole wa kupitiliza.Bangi sio mbaya… kuna wavutaji baadhi ndiyo wapuuzi.
Nasisitiza bangi sio mbaya ila watu ndio wabaya...wengi tunavuta na hatuwazi kufanya mambo ya ovyo...kuna nguvu kubwa sana ilinatumika kuipotosha jamii kuhusu bangiWatu wanaovuta bangi wanajitambua sana huyo mtuhumiwa hayupo sawa mentally