ARUSHA: Amuua kaka yake na kumjeruhi mama yake kwa kisu, akikataliwa kupika

Watu wanaovuta bangi wanajitambua sana huyo mtuhumiwa hayupo sawa mentally
Ndio hapo watu hawaelewi tu,
Huyo mtoto alikua na issue nyingine tu binafsi.
Kwanza unathubutu vp kumchoma mamaako kisu.?
Wangeweza kumwambia tu mama kaa ndani wamfungie kisha waanze vita yao pale mpk kukuche.
Alafu matoto yako 20+ mnagombea jiko la mama yenu?
What a shame.
 
Shetani kazini. Tuamue kumpa Yesu maisha yetu ndugu zanguni ayatawale Yeye peke yake!


JESUS IS SAVIOR
 
Nyumba moja pia familia moja,kwanini kila mtu ajipikie kivyake?
Inaonekana hata kabla ya hilo tukio kulikua na uhasama kati yao.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mama aliwafukuza wasitumie Hilo jiko..labda kuepusha Shari ...

Lakini hapo hapakuwa na salama ... Wote watemi...

Roho.mbaya Sana ..kuua..

Kilio kwa mzazi ... ..watoto wote wanapotea...
 
Bangi sio mbaya… kuna wavutaji baadhi ndiyo wapuuzi.
Haiko uniform kwa kila mtu. Wako ambao bangi inawapotezea umakini wa kufikiri na utulivu wa akili (mental stability). Ni reactions tofauti tofauti kwa mtu na mtu. Mwingine huzuni kila wakati; mwingine ujasiri wa ovyo hata pasipostahili; mwingine upole wa kupitiliza.

Kama pombe tu. Kuna watu inawadhuru sana ufahamu kiasi cha kushauriwa na kusaidiwa kuiacha.
 
Watu wanaovuta bangi wanajitambua sana huyo mtuhumiwa hayupo sawa mentally
Nasisitiza bangi sio mbaya ila watu ndio wabaya...wengi tunavuta na hatuwazi kufanya mambo ya ovyo...kuna nguvu kubwa sana ilinatumika kuipotosha jamii kuhusu bangi
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom