ARUSHA: Amuua kaka yake na kumjeruhi mama yake kwa kisu, akikataliwa kupika

Hiyo familia wote watatu ni janga, mama anajitoa ufahamu watoto wasipike kwenye jiko lake Sasa alitaka wakapike wapi? Mtoto naye anamchoma mama yake kisu bila huruma na kumuua kaka yake aliyetaka kumpiga na chuma, wote siyo watu wema wanamalezi mabaya .
 
Bangi sio mbaya… kuna wavutaji baadhi ndiyo wapuuzi.
Ni kweli, kuna dogo wangu ye ni bangi tu toka amebalehe mpk leo,30 yrs sijawai kumuona amkorofishe mtu,apigane wala azinguane na mtu.
Kuna siku niliianzisha mahali kitimtim kweli dogo kabaki kulia tu badala ya kunisaidia.
 
Wameru hao huwa ni wakorofi balaa..niliwahi kupendwa na demu wa kimeru,sasa kuna wakati anakuwa yuko breed halafu anang'ang'ania kuja kulala gheto😁😁 unamuuliza unakuja kufanya nini? Kanajibu nakuja kulala tu...
 
Kuna wameru, wamasai, watu wa Mara hizi jamii wakorofi sana
 
Dogo alivyobehave baada ya kumjeruhi mama yake hiyo inaweza hesabiwa kaua kwa kukusudia.

Alijificha kusubiri kushambulia.

Akauficha mwili.

Akaenda polisi kutoa taarifa ya uongo.

Akakimbia kujificha.

Ninafikiri aliamini mama kafa. Angekua na uhakika yupo hai angemmalizia kisha ndiyo angeenda kutoa hiyo taarifa.
 
Halafu ishu ni kugombea jiko.

Kuna nini cha msingi katika jiko? Mimi sina jiko na siamini kama nitakufa kisa sina jiko.

Tutangulize busara katika kufanya maamuzi.
 
Ni kweli, kuna dogo wangu ye ni bangi tu toka amebalehe mpk leo,30 yrs sijawai kumuona amkorofishe mtu,apigane wala azinguane na mtu.
Kuna siku niliianzisha mahali kitimtim kweli dogo kabaki kulia tu badala ya kunisaidia.
Watu wanaovuta bangi wanajitambua sana huyo mtuhumiwa hayupo sawa mentally
 
Back
Top Bottom