Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
try to read between lines. hawajasema 'kanzu na kofia' wamesema 'kanzu na koti'
kanzu na koti ni mavazi rasmi ya makasisi wa kanisa katoliki
Niongezee KOTI mufti
try to read between lines. hawajasema 'kanzu na kofia' wamesema 'kanzu na koti'
kanzu na koti ni mavazi rasmi ya makasisi wa kanisa katoliki
Haitosaidia,sababu ni vita ya individual..ila inabebwa na propaganda ya wingi ye yoyote aliyehusika kwenye tukio lile alifanya kutokana na roho yake,namtazamo wake,na ni criminal kama wahalifu wengine..dini na uwakilishi wa dini zingine haupo..Inamaana mkuu huyo jiran yako hapo mtaan kwako wa dini unayoituhumu naye amehusika na tukio la bomu Arusha?au Mauaji aliyofanya Hitler alikuwa anafanya kazi ya uwakilishi wa kanisa lake..TUWE MAKINI NA UANDISHI SABABU HATA YESU ALISHASEMA KUHUSU WAANDISHI.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Niongezee KOTI mufti
Waliokamatwa mpaka sasa ni watu 8 Watanzania wanne na Wasaudi Arabia wanne.Huu ubishi kwa sasa ni time barred. Koti alilovaa Ambrose lilikuwa la mvua.
Nchimbi ametaja jina la aliyekamatwa akiwa na hayo mavazi kuwa ni Victor Alist Ambrose.
Subirini majina mengine huenda yakafanana na matarajio ya wengi.
Nimeanza kupata hisia fulani
Ushahidi wa udini wa Lema na hili tukio......?????
Hakuna tofauti na ile ya afande mshuti
Hivi kwlei unaenda kwenye tukio kama hili lenye purikushani na KANZU?
hapana sitaki kuamini,
kwa vyovyote hii ni sinema kama ni kweli.
na mtu mwenye kazu hawezi kukimbia hata siku moja kw aspeed hizoz tunazosimuliwa hapo.
Huu ubishi kwa sasa ni time barred. Koti alilovaa Ambrose lilikuwa la mvua.
Nchimbi ametaja jina la aliyekamatwa akiwa na hayo mavazi kuwa ni Victor Alist Ambrose.
Subirini majina mengine huenda yakafanana na matarajio ya wengi.
Niongezee KOTI mufti
polisi wamesema wanawashikilia watu sita wakiwemo waarabu wanne we unaongeleo masuala ya chadema.Sumu ya cdm kazini
Hakuna tofauti kati ya Ilunga na Lema. Hata msemaji wa kanisa jana jioni kwenye taarifa ya habari ya saambili usiku alionyesha kutofurahishwa na maneno ya Lema