Arusha: Ajifungua watoto mapacha wanne(4). Aomba msaada kwa wasamalia wema

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,736
Mwanamke mmja huko Arusha amejifungua Watoto Mapacha wanne wa kiume ikiwa ni uzao wake wa pili.

Mwanamke huyo ameomba Msaada Kwa Wasamalia wema Kwa kile alichodai kwamba yeye na mume wake Wana maisha magumu hivyo kulea Watoto 4 Kwa pamoja itakuwa Changamoto.

Hima Wasamalia wema jitokezeni kutoa Msaada.


View: https://youtu.be/lymrZW86Idc?si=wn2YH47tkXps9t2w

Swali.
Inakuaje watu Maskini ndio Huwa wanapata na baraka za namna hii? Mbona wenye uwezo sijawahi sikia haya mambo yakiwatokea?

Hongera kwako mama vichanga,napenda sana Mapacha ila ndio siwapati.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1730329227105308773?t=r0tUnoh4SZvfg8_cqfKuaQ&s=19
 
Mwanamke mmja huko Arusha amejifungua Watoto Mapacha wanne wa kiume ikiwa ni uzao wake wa

Swali.
Inakuaje watu Maskini ndio Huwa wanapata na baraka za namna hii? Mbona wenye uwezo sijawahi sikia haya mambo yakiwatokea?


Hongera kwako mama vichanga,napenda sana Mapacha ila ndio siwapati.

"Inakuaje watu Maskini ndio Huwa wanapata na baraka za namna hii? Mbona wenye uwezo sijawahi sikia haya mambo yakiwatokea?"

Hili hata huwa najiuliza pia nakosa majibu.
 
Hili hata huwa najiuliza pia nakosa majibu.
Paipu wanapigwa paipu wanalia km ambulance fyoo fyoo usiku mzima alafu wakianza saa 2 usiku kumaliza saa 11 asubuhi yaan ni mwendo wa kubandika kubandua masikini wanapenda kubanduana hatari, ukija kushtuka mapacha wanne hawa hapa
 
Hongera Mama Wanne Hapo Sasa Mama SSH Anasema Elimu Bure
Jiwe Alisema Ndugu Zangu Zaeni, Hiyo Ni Nguvu Kazi Ya Taifa
 
Back
Top Bottom