DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Mimi nilishangaa hii kauli ya kilaza Lusinde.....si kauli ya mtu mwenye akili timamu,na ni tusi kwa wana Arumeru.
Msiwalaumu! Wanazungumza kilicho moyoni. Wako bungeni kwaajili ya mshiko, matatizo ya wananchi kwao sio kitu, ndo mana wanadai posho ziongezwe. Posho ndo ziliwapeleka mjengoni.
tatizo letu wapinzani hatuna matawi ndio maana inakuwa vigumu vigumu kujua wapiga kura wetu.
Hii iko very specific kwa chama chenu cha Cuf na vingine vidogo vidogo. Chama kikuu cha upinzani kinakubalika kila kona na kimefungua matawi kibao Arumeru ndio maana akina Wasira wanatoka povu na kuanza siasa za majitaka badala ya kunadi sera. Hii inawatokea puani kwani wakati wowote wanatimuliwa na kukosa posho walizofuata Meru. Nyie cuf mngeenda kufanya nini Meru wakati ni BARA na WAKRISTO ni wengi? Ishu sio matawi ni strategytatizo letu wapinzani hatuna matawi ndio maana inakuwa vigumu vigumu kujua wapiga kura wetu.
Naomba waendelee na kampeni ili wawachukize wapiga kura.
Naomba waendelee na kampeni ili wawachukize wapiga kura.
Hata mimi nina mtazamo kama wako kamanda. Kadri wanavyoendelea kupandwa na mzuka wa kampeni na kutoa lugha zisizofaa dhidi ya chadema ndipo wanaiongezea kura kwakuwa wanajichimbia kaburi lao wenyewe.
Samwel Sitta jeWakiwaondoa hao CCM watamtuma nani tena? chama kile kimechafuka hakuna msafi! hao waliotumwa huko ndio hawana kashfa zinazoweza kuoneka kwa haraka!
Akili na mawazo yao saizi ni kwenye box la sanduku maana hali nasikia ni tete.
Samwel Sitta je
Samwel Sitta je