Arumeru kuwa chanzo cha ukombozi wa taifa letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru kuwa chanzo cha ukombozi wa taifa letu

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Nteko Vano, Mar 22, 2012.

 1. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Saa za ukombozi zitaanzia Arumeru. Ni wakati muafaka kabisa kwakuwa serikali yetu inafanya mambo bila kufikiria na kwa manufaa ya chama chake hususan matukio yanayotokea huko Arumeru na tetesi tunazozipata kuwa kwa kushirikiana na tume wanataka kuchakachua uchaguzi... Nasema saa za ukombozi zinawadia, Arusha ndio zitaanzia harakati hizo.

  Soma hapo chini kauli za Dk. Slaa


  Dk. Slaa ametoa masaa 24 ya kukamatwa viongozi wa CCM waliohusika katika utekaji nyara na utesaji wa kiongozi mmojawapo wa CDM. Amefika mbali na kusema uvumilivu haupo tena na hawatavumilia kuona unyanyasaji kwa wananchi na wana CDM, wizi wa kura au uchakuaji unaendelea kama walivyofanyiwa katika majimbo mengine.

  "Dk. Slaa anasema.....

  "Hapa Arumeru itakuwa mwisho…Kiteto watu wangu walipigiwa kituoni na kuumizwa vibaya, kituo kikuu cha polisi, Biharamulo pia hivyo hivyo….jua sasa litaamkia na kushukia Arumeru Mashariki…nataka ndani ya masaa 24 viongozi wa CCM wakamatwe................. tutauona mwisho hapa Arumeru Mashariki," alisema Dk. Slaa.

  Source: Tanzania daima
   
 2. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu tamko na vitendo ni vitu2 tofauti 1+1=2 ccm wanasema kelele za .....hazimnyimi usingizi mwenye nyumba kinachotakiwa ni majibu kwa vitendo si kwa maneno polis, ccm, tume ni sawa na mtoo, majii na samaki
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Tyr viongozi wa CCM wamekamatwa chini ya Masaa 24
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nani katiwa..mbaroni,angekamatwa shigela kwanza kilaza mkubwa yule
   
Loading...