Arumeru kumekucha

mnajua mnaongea bila utafiti madiwabi 23 kila mmoja amejipanga kuwa na wapiga kura 2500 unajua arumeru mashariki ina kata 17 zote ni za ccm na wabunge maalumu kwa nafasi zilizobaki lakini kuna vijiji 76 vyote ni vya ccm lakini baya utafiti uliofanywa na chadema na katibu mkuu wao amani golugwa anao vijana wengi hawamo katika daftari la wapiga kura na ndiyo wanaojaza mikutano yao na wengine kutoka arusha mjini,moshi,hai na karatu sasa hapo unashindia wapi ? ccm sasa wanatafuta ushindi unaofikia asiliami tisini.

Wewe ndiye hujui nini kinachojiri. CCM imegawanyika vipande vitatu, ni kipande kimoja tu kimuunga mkono mgombea.
Halafu Siyoi mwenyewe hana kura na kama wana Chadema wanatoka Moshi, CCM ya Siyoi inatoka Monduli, ambako ni mbali zaidi!
 
isije ikawa pipooozzz pwaaaaa! kama Igunga, Uzini, Iringa na kwingineko.
 
user-online.png
Godwinnko
Today 13:09
Junior Member Array
Join Date : 12th March 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0Likes Given0
icon1.png
Re: Arumeru kumekucha

[COLO
kamanda mi nipo jimbo la lema ila nondoz za kwa nassari nazipata kumekucha kweli..walahi magamba wakipita lazma ni uchakachuaj..cha muhim ni kulinda kura za nassari
 
Back
Top Bottom