Hawa ni wa Africa magharibi ni wabinifu sana na wana support ya familia zao.. Huku kwetu inaweza kuwa mtihani kidogoNi vizuri karibia ya entrepreneurs wote hapa ni watoto wa Kiafrika ila kinachosikitisha tu watakosa support toka serikalini. Usishangae akagombezwa na wabunge aache utundu aende madrasa ama Sunday school kama wenzake.
Kama huku kwetu lazima watagombezwa na wazazi wao waache utundu waende madrasa ama Sunday chool kukariri vitu visivyo na umuhimu maishani mwao.Hawa ni wa Africa magharibi ni wabinifu sana na wana support ya familia zao.. Huku kwetu inaweza kuwa mtihani kidogo