Artificial intelligence (AI), Shetani, nyeto, na betting vinatumiwa sana kama visingizio miaka hii

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
15,167
Reaction score
28,194
Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi.

"Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha.

"Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya.

"Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka langu.

NYAMBAFU 😎.

Mbaga Jr.
Dr am 4 real PhD.
adriz de mbusii.
 
🤣 🤣
 
Hii bet hii
1770136306331.jpg
 
Back
Top Bottom