Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,495 Reaction score 10,048 Nov 9, 2024 #81 Wazee wa Timu moja tu.... daaah!!
T Tumbili wa Mjini JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 3,943 Reaction score 8,166 Nov 9, 2024 Thread starter #82 Football said: Tafuta kazi ya kufanya hiyo 10k ni ya kufutia kinyesi sio ya mtaji wa betting nenda kalime Click to expand... Usitukane hela nakua tahadharisha, tena usirudie tena
Football said: Tafuta kazi ya kufanya hiyo 10k ni ya kufutia kinyesi sio ya mtaji wa betting nenda kalime Click to expand... Usitukane hela nakua tahadharisha, tena usirudie tena
Arsenal Gunner JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,891 Reaction score 17,696 Nov 9, 2024 #83 Tumbili wa mjini said: Usitukane hela nakua tahadharisha, tena usirudie tena Click to expand... Hiyo sio hela ya kubetia ni tishu ya kufutia kinyesi
Tumbili wa mjini said: Usitukane hela nakua tahadharisha, tena usirudie tena Click to expand... Hiyo sio hela ya kubetia ni tishu ya kufutia kinyesi
T Tumbili wa Mjini JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 3,943 Reaction score 8,166 Nov 9, 2024 Thread starter #84 Football said: Hiyo sio hela ya kubetia ni tishu ya kufutia kinyesi Click to expand... Ni wewe tu na Mungu mimi sina la kukuambia
Football said: Hiyo sio hela ya kubetia ni tishu ya kufutia kinyesi Click to expand... Ni wewe tu na Mungu mimi sina la kukuambia
daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,394 Reaction score 3,294 Nov 9, 2024 #85 Tumbili wa mjini said: Kwa waliofanikiwa kubashiriwa na chatgpt njoeni mtoe ushuhuda wenu, mimi nimejaribu mara kadhaa nikazidi kupotezwa Click to expand... Hakuna kitu hapo Utapigwa kama kawaida
Tumbili wa mjini said: Kwa waliofanikiwa kubashiriwa na chatgpt njoeni mtoe ushuhuda wenu, mimi nimejaribu mara kadhaa nikazidi kupotezwa Click to expand... Hakuna kitu hapo Utapigwa kama kawaida
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,854 Nov 9, 2024 #86 Mpaji Mungu said: Kubeti ndo tumaini pekeee la vijana Click to expand... Hapana mkuu twendeni shambani
Mpaji Mungu said: Kubeti ndo tumaini pekeee la vijana Click to expand... Hapana mkuu twendeni shambani
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,397 Reaction score 11,447 Nov 9, 2024 #87 Tumbili wa mjini said: Mwaka huu Kanji tunamrudisha bombay Click to expand... π π π
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,857 Reaction score 7,289 Nov 21, 2024 #88 Pantomath said: Watu mna roho ngumu sana... Hii kitu sijawahi waza na sidhani, Pamoja na kua nina ushuhuda wa mwana kushinda 37M miezi iliyopita, ila sijashawishika, kule siweki hata mia yangu. Click to expand... Mkuu ingia pm nimekutext.
Pantomath said: Watu mna roho ngumu sana... Hii kitu sijawahi waza na sidhani, Pamoja na kua nina ushuhuda wa mwana kushinda 37M miezi iliyopita, ila sijashawishika, kule siweki hata mia yangu. Click to expand... Mkuu ingia pm nimekutext.