Amesema au magazeti ndo yamesema? We hujiulizi timu moja imehusishwa na karibu kila mchezaji nje ya Messi na Ronaldo? Kuna uongo mwingi kwenye hizi Rumours na zinatoka kwenye magazeti ya Udaku pale uingereza! Nakushauri usubiri aseme AW mwenyewe, Bbc.com,Skysports au Arsenal.com vingnevyo utajiumiza tu