Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,350
- Thread starter
- #21
Ubishi utakusaidia nini ?Kumbe ligi imeisha?? Au unaleta utabiri??
Ubishi utakusaidia nini ?Kumbe ligi imeisha?? Au unaleta utabiri??
Wewe unaonaje ?Aliyeitoa ni wewe ama?
Kama ni wewe basi sawa, itoe tu...sisi tutafuatilia ligi mpaka mwisho.Wewe unaonaje ?
Arse8 buanambovu lakini bado typo juu yenu Manyoo utd
Nyie hata kama ndio mngekuwa mnaongoza ligiTofauti ya pointi 9 na aliye juu kwa mechi 17 ndio matumaini ya ubingwa yameisha?? Unasahau kuwa ligi ina jumla ya mechi 38.. inaonekana umetawaliwa na hisia na mihemuko na sio uhalisia..
Labda waliibe..Mwaka huu Arsenal anakikosi kizuri.
Anaweza akachukua EPL pamoja na UEFA
Linalindwa kuliko Mrisho Gambo , watalipata wapi ?Labda waliibe..
Ana nyenge mshindo huyoTofauti ya pointi 9 na aliye juu kwa mechi 17 ndio matumaini ya ubingwa yameisha?? Unasahau kuwa ligi ina jumla ya mechi 38.. inaonekana umetawaliwa na hisia na mihemuko na sio uhalisia..
Bila kutimua Wenger hii timu itaendelea kuwa jamvi la wageni .Acheni unaa hiyo ndio nafasi yao walio izoea kwa miaka kumi sasa
Nimecheka sana !Matako yako kiaz ww
Miaka kumi hawana kikombe wana kijiko sijui kimoja cha ngama walikipata mwaka wa jana ila ninacho wapendea hawa jamaa wana imani na timu yao na mapenzi ya dhati mpaka unawashangaa.Bila kutimua Wenger hii timu itaendelea kuwa jamvi la wageni .