Arsenal yafanya nivunje simu yangu

Arsenal yafanya nivunje simu yangu

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Wakuu me ni mdau na mpenz mkubwa wa arsenal
Tulivyofungwa bao la pilli kiukwel nimevunja simu yangu, hasira hasara ndugu zangu wenye mapenzi na timu yetu kama mimi naombeni mnichangie ninunue ingine nilikua natumia Huawei Y 300
 
Mke anakuja kuchukuliwa kwao na mumeo wewe unavunja simu ujinga ulioje.
 
wakuu me ni mdau na mpenz mkubwa wa asernal
tulivyofungwa bao la pilli ki ukwel nimevunja simu yangu hasira hasara ndugu zangu wenye mapenzi na timu yetu kama mimi naombeni mnichangie ninunue ingine nilikua natumia Huawei Y 300

ha ha ha ha ha! kweli kazi mnayo!! unaomba kutoka kwa washabiki na wapenzi wa arsenal au!?
 
Kuliko kupewa simu mpya ni bora ukaamia man u il I usije ukapasua TV next time ..kwa kushabikia uozo arsenal
 
usijaribu kuweka mzigo (kubet) siku nyingine utakombwa hadi boksa... timu mbovu hiyo
 
mashabiki wote wa asenal wamevunja simu sasa nyinyi mashabiki ws hiyo timu mcheze upatu mnunuliane simu
 
jaman arsenal itarud kwenye mchezo tu c mmewaona majeruh wanarud wanafanya yao kwahiyo tuc umie sana.
 
Sijakuelewa! Unavunja simu kila mnapopewa dozi au. Basi utazivunja sana. Kama niko sahihi, kulikuwa na uzi wiki 2 zilizopita mtu alivunja huawei kama yako sababu ya kipigo cha Swansea. Pole sana!
 
Back
Top Bottom