Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,022 Reaction score 102,411 Jan 3, 2026 Thread starter #21 Stats sio nzuri ila fresh.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,554 Reaction score 49,948 Jan 3, 2026 #22 Mad Max said: Kikubwa point 3. Click to expand... Kweli kabisa mkuu, na zimepatikana japo kwa tabu.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,022 Reaction score 102,411 Jan 3, 2026 Thread starter #23 Dan Zwangendaba said: Sijaona mchezaji mjinga kama Budo. Hawa Arsenal wanataka kuanza ujinga wao wa mwaka mpya maana kila baada ya mwaka mpya ndio wanazinguaga Click to expand... Kusema kweli leo hawajacheza hawa madogo
Dan Zwangendaba said: Sijaona mchezaji mjinga kama Budo. Hawa Arsenal wanataka kuanza ujinga wao wa mwaka mpya maana kila baada ya mwaka mpya ndio wanazinguaga Click to expand... Kusema kweli leo hawajacheza hawa madogo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,353 Reaction score 196,046 Jan 4, 2026 #24 Pole sana... Cc: Mahondaw