kawaida yetu kufunga!!
kawaida yetu kufunga!!
Hahahahah ma cousin team hiyo anasema arsernal ni maradhi ya moyo lol...
Huwa mnatia moyo mwanzoni mwa ligi ikifika round ya pili kwisha habari yake bora ushabike timu ya Arushaone chimpompo fc
tupo njema tusifieni tu
ya kaizari mpeni kaizari jamani!!
arsenal juuuuuu,juu zaidi!!
Mi imani na asernal hamna