Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Nimechelewa kuona alivyokosa penati. Dah Mjerumani kachachawa vs Mjerumani
 
kwa muonekano tu, Arsenal wakipata goli itakua ni kwa bahati tu, hawana mipango mizuri ya kupata goli(clear goal) ila Bayern Munich kwenye kudumbukiza mpira wavuni wanakua na kitete.
 
Ahhh tumeshakwisha. Monreal atakuwa uchochoro kama sio barabara. Gibbs ameshakuwa kama RVP na Diaby too injury prone.
 
alichokifanya Ozil sitasahau..duu hadi ari imeisha kabisa ule moto wa 15 mnts za mwanzo siuoni tena
 
Bayern Munich kelele za mashabiki wa Asernal uwanjani zinawachanganya, hawaoni lango.
 
Back
Top Bottom