Hata penati waliyopewa mibaguzi.......kusema ukweli lile LISHUZILAULEZI lili-exaggerate kujiangusha......
Kipindi cha pili Babu Wenger inabidi amtoe Myahudi amuingize Oxlade au Gervinho............
Ndiyo. Wote ni watabiri kama Sheikh Yahaya. Kwavile Sheikh Yahaya alikua mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati,yeye namfanya reference. Nikiwataje watabiri wa hali ya hewa kama reference,utawafahamu kweli?
tofauti ya Thiery Henry na Robie van Persie ni kwamba Henry alikuwa anafunga wakati arsenal wanachukua makombe na Van Persie anafunga wakati ambao arsenal haiwezi na haichukui makombe!