Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa Kichina Jamaa Kasema "这个是非常标准“ 。。。Alikua anacoment goli la RVP........
 
Hii game kama tukikomaa twaweza Shinda... Hapa ndo AW inabidi adhihirishe Uproff wake....
 
OX na Gervinho wanaanzia Bench then Walcott ndani???? AW vp???

Upangaji wake mara nyingi unasababisha kufanya vibaya katika mechi. IMO hao wote wangestahili kuanza maana huwa wanaongeza sana kasi ya mashambulizi na hivyo kuifanya defence yoyote ile isambaratike. Natumai wataanza katika kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…